MKE MWENZANGU ANATAKA KUNIROGA |NILIFUMANIWA NILIPIGWA SANA |NYWELE ZANGU SEHEMU ZA SIRI..

Published 2022-07-03

All Comments (21)
  • @user-sq7pz9ex5g
    πŸ˜‚πŸ˜πŸ™† Leo fabi kapatikana πŸ˜πŸ˜‚,tanga tuko vizuri bhanaa πŸ˜‚
  • @hamedahameed148
    Aiseee asilimia kubwa ya Sisi Wana wake tumekosa haya subhanallah
  • @aishambise6529
    Fabi ogera unauliza maswali ipasavyo boy tunakufatilia sn uku πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ™‹πŸΌπŸ”₯
  • @user-fq1gg8rj9i
    Mmmh C kwa umalaya huo ,,,muogope Mungu ndg yangu,πŸ˜‚πŸ˜…
  • Kwauzuri unaowakawaida hujaona wazuri kunawazuri bidada mashaallah mungu anaumba kunawazuri hushibi kumtazama kwakweli hapo bidada ukisimama body kama 🎈 balloon afadhali uwe mrefu ukiwa mfupi yooooo nibalaa
  • Japo na unene ulo nao lkn kwa 22 age hatudanganyikiiiπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒyn Leo fabi umetuletea mdangaji alieshindikana 🀣🀣na siimalizii kusikiliza upuuzi huu πŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ
  • @kisalaTV
    Hapa leo tumepigwa na kitu kizito kichwani. Naona tunadangiwa kwa kodi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜˜
  • @aishashaibu4772
    Wanasemaga mapenzi yalikozawa lkn bado unadanga nahata hujlikani km upo kwenye mahusiono kwanini namapenzi mwayajua au nisifa tu
  • @faidavictoria
    Mbona huyu Dada anaonekana ni mtu mzima ? πŸ™ˆπŸ™‰ Eti ana miyaka 22 ???????
  • Mtu umejuana nae siku 2 amwambie anakupenda sana🀣🀣🀣
  • Sio kwa ubaya lakini huyu dada mbona ana asili ya umalaya yani unatumika ovyo kwaajili ya pesa? Huko nikudanga Ungeutunza mwili wako hadi upate mwanaume serious lakini unapiga Umalaya kwa kutumia urembo wako utakuja kuuliwa kuwa makini dunia ni tambara bovu ni heri ubaki Single ukijiheshimu pia utaheshimiwa
  • @user-le9lb8oc8d
    Uongooo umekisiri sana hii Tz yetu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
  • Maskini mama ake aliifurahia alivoibeba hii mimba maskini mtoto mwenyewe ndo huyu
  • @khadijaali4657
    Aaah mm hapo kwa miaka sio kweli kabisa lina miaka 37/38 alafu chengine ni malaya sana huyu mtu eti niite binti binti gani ww una miaka mingi tena wadanganya watu na waliwa na kila mtu jamani Fabi nae leo mdomo umebaki wazi Hahahaa
  • Huyu Dada ni Mdangajii" Kisha ni Tamaa tu! Ww utakaa vipi na Mume wa mtu hata hujafkiria Akuoe' huyu Dada akili ziro" hafai hata kua mke kwa Nyumba.
  • @rukiauwonde7062
    πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚nimecheka acha tu πŸ˜…
  • Napenda unapoongea unamtizama mtu usoni na hayo macho yako yananimaliza mm sio danga nipo omani natafuta bac tu nimekupenda