VIZUIZI VIKUBWA VYA BARAKA MAISHANI MWAKO

194,906
0
Published 2021-12-29

All Comments (21)
  • @ruthnzota6427
    Napenda saaanaaaa mahubiri ya mchungaji Mmbaga kwa sababu ndani ya mahubiri ana story nzuri sana, yaaani naweka gb 15 zinaishia kwake🙏
  • Amen,be blessed pastor. Your sermons delivers me always.
  • Amina mtumishi huwa ninakufuatilia sana. Mimi nilishashindwa kuwasikiliza wasabato kwakuwa zamani nilikuwa ninapenda kuwa nao karibu kwakuwa wenzetu wanafundishwa sana biblia. Ila changamoto yao wanakiburi mno ukiwa nao mahubiri yao yanahusu tu siku. Lakini wengi wao wanazungumzia siku tu ila kwa matendo mengine maovu huwa hawana hofu kwenye kutenda. Mungu atusaidie kuona boriti kwenye macho yetu.
  • Amina pastor nimebarikiwa sana somo linanihusu Mungu anisaidie nibadilike
  • Pr ujumbe huu ni wa Baraka Sana Mungu atusaidie sote tujitadhimini upya kwa changamoto ya Kiburi
  • Good bless you father Good job nimejifunza pakubwasana na nitaenderea kufatilia chaneliyako napenda unavo fundisha ukweri wachungajiwengi wasasa wanaogopa kufundisha ukwerii ubalikiwe Sana na nakuombea mwishowako uwe mzurii 💞💞💞
  • Oh Mungu wangu ama kweli tunazidi kupata Elimu mpya inayotufungua macho karibu katika kila hubiri tunabarikiwa sana barikiwa sana Pastor Mmbaga na jina la BWANA Mungu litukuzwe ssna
  • @MARIE-iy4bx
    Hubarikiwa sana na mahubiri ya mmbaga,na kujenga Imani yangu
  • Amen am soo blessed nice courageous message God bless you pastor
  • MUNGU, awenawe popote utakapo kwenda, kuptia wew umenibdilsha; natmani siku nikuone barikiwa Sana.!
  • Nabarikiwa sana na mafundisho yako 'Mungu azidi kukutumia zaid mtumish wa Mungu
  • Amen Pastor, hata hiyo unazungumuzia hapa, sisi wasabato tumekuwa wanafiki sana, hata pia wachungaji wengi dhambi hii ni ndani mwao. Augustin toka Goma, DRC
  • @amozmwaz1494
    Nimebarikiwa na neno mungu azidi kukufunulia zaidi amen
  • Tunataman Aya mahubiri yafike kwa makansa yetu yatabadilisha maisha yetu ya ukirsto wetu wa kiburi Mungu akutumie vyema mchungaji
  • Mungu akubaliki sana mchungaji mbaga Kwa mahubili ya kiroho