Kimenuka ARUSHAAA!!! Makonda ASHIKISHA watu ADABU, Kimeumanaaa!!

Published 2024-04-14

All Comments (21)
  • makonda unatembea na mwenyezi mungu, ndiyo mana kwa ukweli unafanya kazi ambayo inapendwa na watanzania,na ndiyo mana majizi wakubwa hawakupendi kutwa kuchwa wanakuchongea ili ufukuzwe,na ndiyo mana umeondolewa kwa hila kwenye uenezi mana ulifunika wote wewe ni mzalendo halisi mungu akutunze kwa ajili ya watanzania Amina
  • @fhugghi4109
    Tunashukuru Arusha yetu imepata kiongoz thabit 💪💪nakukubali sana makonda 💪💪nadhani sasahiv tutakuwa Na maendeleo
  • Mfumo unadizainiwa wape elimu mdogo wangu mheshimiwa makonda.Hongera mkuu
  • Hongera kwa uelewa mkubwa mh.makonda maana wasomi wengine pamoja na masters zao wanashindwa kuwaelewa clients wao.amazing!
  • Makonda nimekukubali jinsi ulivyosimamia jambo hili. ni kiwango kikubwa sana cha busara na hekima. tuko upande wako hata kama watu watakuita majina ya ajabu. watabaki na jazba lakini muumba yuko upande wako. leo nimeona uwezo mkubwa sana ndani yako na neema pia iliyiko juu yako siyo ya kawauida. Mungu azidi kuwa nawe.
  • @iam_deo
    Uko very right na mipango mizuri sana
  • @neemamwanga5447
    Hawa tra wakorofi Sana wanajiona wanamiliki tanzania hawana kauli, wanakuja km ugomvi wakiambiwa ukweli wanakuambia hujui kitu wanajikutaga Sana na wanapokuja wanakujengea mazingira ya rushwa na wanakula wanamaisha mazuri tofauti na mishahara, yao sio wote Ila baadhi yao wanakuja mtaani uhakika wanao na wanapeleka material site kwa kufuata rushwa wanamiliki viwanja sehemu za ghali na Hana hata miaka minne kazini mfanyabiashara unasota miaka kumi hata room mbili huna inauma jamani mpaka unajikuta unawaombea mabaya
  • @SamweliMwalindu
    mpaka maombi nimekuelewa mwanangu kuna ishu hapo ipigwwe faya
  • @aizzyashery5564
    Makonda bana sitaki kuwa mnafiki nakukubali hatar aiseee dahh
  • @aizzyashery5564
    Makonda hatari nyie bn mwambaaa huyuuuuu wasiompenda watajua wenyewe bn
  • @neemamwanga5447
    Na mkurigenzi unaongeaga vizuri na matajiri sababu inapataga kula sisi makapuku hunaga hata muda na sisi barua tukileta inawekwa mezani muda ukipita unasema sijaleta barua najengewa mazingira ya rushwa na ukishindwa inapigwa faini duka mtaji 4milion faini million 3 shikamooni wasomi TRA
  • @neemamwanga5447
    Hapa mjini Arusha kila.mtu ana Kodi kutokana na rushwa aliyotoa Kuna mtu ana mtaji 15m na anamzunguko mzuri then Kodi analipa sawa na wewe wa 4m mzunguko wenyewe majanga jamani mbinguni mtafika wachache Sana Ila serious mtupuuze mnavyoweza na mtudharau lakn mnatutesa Sana na hakuna anayewaona anawaombea mema zaidi ya mabaya na Mungu huyu analipa jamani
  • @neemamwanga5447
    😢🎉mkihojiwa na Mkuu wa mkoa unaongea km marafiki na mkiambiwa ukweli mmepoa mnatudharau sana kuona wenye biashra hawajasoma lkn mjue nyie mmesoma darasani sisi tunafanya live wamesomea ajira na kuja kula rushwa Ila mungu huyu mtapigwa matukio mapka muitike abeee rushwa unajengea, unasomesha, unavaa, unakula alafu mungu akuache atawatungua sana mungu wa sasa nae yupo kwenye mfumo wenye control number analipa kwa system na Hana notification
  • @user-tw9jk8ow1r
    hata sisi wakenya tunapenda kupeleka wana ndoa wetu arusha na moshi kwa honeymoon kwa hali ya hewa ya huko ❤