#live :Hii ndo Simba wanayoitaka mashabiki itazame
397,228
Published 2023-12-19
All Comments (21)
-
Yani Simba tupo pamoja kwà kila hatu wachezaji wapambane tu, sisi tutaisapoti Simba na tunaipenda Simba yetu kupoteza mechi kawaida tu lakini kesho tuna mpiga mtu kigoma ❤ simba
-
Wakiondoka viongozi wale ata nikicheza mimi nitaonekana the best pleya
-
Mungu ibariki simba
-
Mungu ibarik simbaa
-
❤❤ naipenda timu yangu japan me na cmba damdam
-
simba oyeeeeeeee
-
Mashabiki ndivyotulivyo ikifunga tm hii tuko huko ninaiombea Simba ifunge mangoli mengi
-
Mungu ibariki yanga kesho ishinde mechi nipo goms dar
-
Nashangaa utopolo wanaongea sana wasubiri kichapo kutoka kwa wapinzani
-
Simba,ushindi
-
Simba nguvu moja
-
Kila la kheri Simba sports club
-
wachezaji wa simba hovyo sana mechi hii wanacheza hii hawachezi sijui dharau au upumbavu tu,inakera hiyo hali usipime sisi wengine tukiona wameamua wasicheze tunaiacha timu mpaka watakapo amua kucheza ndio tunakuwa washabiki maana unaweza kufa kwabpresha bure! hivyo wajue tutawasubiri wanapoamua kushindana,wasipoamua na sisi tutakuwa bize na kazi zetu watakapoamua wasijali tupo wao hiyo ndio kazi yao sisi hapana.
-
Simbaaa
-
Simba Leo mmetufurahisha 🎉🎉🎉🎉
-
Naitakia Simba ushindi mnono
-
🎉simba nguvu moyaaa simba robo to nusu fin
-
piga goooooo
-
😍
-
Nakupenda Sana tumu yangu