NI SAWA MKE KUOMBA TALAKA KWA MUMEWE? WANAWAKE WENGI HAWAJUI, UKWELI NI HUU | HARD TALK

Published 2022-09-18
NI SAWA KUOMBA TALAKA KWA MUMEO? WANAWAKE WENGI HAWAJUI, UKWELI NI HUU | HARD TALK

HII ni sehemu ya kwanza ya mahojiano ya Mtumishi wa Mungu Lilian Mwasha na Mshauri na Mwanasaikolojia Dkt Ellie ambapo wamezungumza maisha ya ndoa na mahusiano ndani ya kipindi cha Hard Talk, swali kubwa likiwa ni sawa mke kuomba talaka kwa mumewe?

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES  

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

All Comments (21)
  • Dr ana madini huyu sijawahi kujutia kumsikiliza na pia sichoki mashallah
  • Huyu baba ndie pekee nae maelewa maana anayo neno la Mungu kwanza na ana heshimu amri ya Mungu pili ni big role models kwa wanaume wenye knowledge na wisdom like ya Nabii Daniel na wenzake watatu . God bless you mam of God we are learning from you sana 🙏
  • ♥️♥️♥️♥️♥️Hapo umenikoshaaaa mwanamke anayeteswa na Mume hajitambui yeye ni nani?
  • Wanawake sisi ni waaminifu na tunapenda sana na tunajitoa mno kwa wanaume lakini wanatuumiza mioyo yetu.
  • Huyu Dr Elie uwa namuelewa sana yaan ananifungua sana akili yangu yaan kuna vitu akiongea namuelewa sana na vinaniingia sana ubarkiwe sana Dr.
  • @anethd1319
    HUYU DOCTOR ANATUFUNDISHA SANA LOVE FROM ITALY.
  • @user-xv5yy6mv6i
    Hongera maneno Docter niyamsingi sana iwapo dadaangu kakaangu tutayasikiliza.
  • @vickyitenyo.
    Lillian Mwasha I love you and thank you for obeying God's call over your life to shepherd His people! Good job girl! Onwards and Upwards! How can I reach this Dr Ellie? I'm your loyal fan from Kenya!
  • Tusichoshane bwana unakutana na jitu ambalo lina a lot of issues growing up,yaani wazazi wake wameliharibu , lilikua abandoned and bullied au limekulia sehemu mamake,shangazi zake wanapigwa mpaka wanazimia,liko na insecurities, alafu ukae eti unammudu how? Utaishia kukonda na kupauka because you are dealing na a broken man ambae hata hayuko tayari kukubali ana issues. Sasa uking'ang'ania si utauawa?