Mkataba wa Mahusiano wa Staa wa Brazil Endrick Felipe na mpenzi wake Miranda utakushangaza!

Published 2024-04-20

All Comments (21)
 • Nimekuwa nikisikiliza mwishoni hapo Mr. Nikafahamu ni mziki kumbe ni jingo ya sns. Ww mbunifu sana nimeipenda iyo aise hongera sana
 • @subirafelix7413
  Jaman 360 kaka, nimefanya marudio ya izo makala za mwanzo karibia mara 4 na zaidi kwa Kila Moja, uwa na play Kila siku wakati wa kulala then napata usingizi mzuri tu,
 • Jamani! Huu wimbo mwishoni hapo,unaosindikiza hiyo habari unaitwaje na kaimba nani?
 • @Djugaripro
  kazi yetu nikuweka bando tuletee kinacho staili tutapokea
 • @abelhilonga1095
  Mwanaume ni mdogo inakuaje haki za binadamu ingekuWa ni mwanmke ni mdogo ingekuwa noma
 • Huyo demu ni gold digger kama wengine...dogo ameshafilisika hata kabla pesa haijaingia kwenye akaunti yake😂😂😂
 • @homeandaway2811
  Hii mikataba ije na BONGO, inahitajika.Kuzinguana kumezidi 😅
 • @KarisBaya
  Kama Ronald vile,hakuna kufunga ndoa
 • @redtk2971
  Hahaha dogo anachekesha kweli alafu kweli ni mtoto ubongo bado mimi nilizani mkataba wa PRENUP contract yani kila mtu anaorodhesha mali na madeni yake aliyonayo na hata mkiachana kila mtu anapita njia yake na mali zake yani no mgao kumbe maswala ya mmh, ahaa, kkkk😂😂
 • Sasa niulize kwaiyo huko hakunaga maswala ya ubakaji? Mvulana 17 msichana 20, ama kwama star 🌟ndo hakunaga hayo mambo yapo kwetu makapuku?