DUKANI KWA MEKU
241,442
Published 2024-05-23
All Comments (21)
-
Umeuwa Sanaaaa Hii ๐๐
-
Tunaompenda nishai team strong tupo๐ฅฐ๐ฅฐ
-
Naomba like kama unampenda joit ๐๐my favorite comedian in this generation ๐๐
-
Ila joti ni best of the best. Huyu asilinganishwe na comedian wengine wowote
-
Tunawapenda Sana mashabiki zetu
-
Baba kama kakuachaa wew maana yake kakuacha na mm๐๐๐๐๐๐
-
Yaan kizito na mlawa ndo mmkuja kuzid kunichekeshaa na iyo mibao sasa ya meku ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃakii nmchekaa jmn maisha marefuu kwa joti gonga like๐๐ผ
-
๐๐๐๐tulioanza kucheka Joti anavyosomba vitu kwa buku 10 tujuane na kabla hatujajua kinachofata
-
Mlewa noma sana cyo kwa cheko ilo๐๐๐๐๐๐
-
Masai Nyeupe Umeuaa sana Aiseee
-
Joti umefanya ufara sana mwizi haibi sehemu moja mara piLi๐๐๐๐
-
๐๐๐๐๐sasa ndio uchukue mkokoteni jamani nishai๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
-
Duuuuh the most comedian from East Africa โค๐จ๐ฉโฅ๏ธ๐จ๐ฉ
-
Uyu meku umuweke kwenye vipindi vingine vingine
-
Baba kauza Ng'ombe kapeleka Ng'ombe shule๐ ๐ ๐ ๐ ๐
-
โค๐๐๐ข๐ฎ๐ ๐ umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas
-
Nishaiii Sasa huoo ni wizi Sasa ๐๐
-
Tupo humu ni hatariii๐ฅ๐ฅ๐ฅ
-
Nimewai mapema leo kajizolea baba Ayupo ๐
-
Jamaniii leooo nimechekaa na jiranii yanguuu anaduka hua anamwacha mtoto auzee nimeenda kumuonesha hiii video kasema saiv haweki mtoto auzee duka maana anaogopa lisije kua duka la meku๐๐๐๐๐