NANDY aitwa BASATA kwa makosa haya, Akubali na kuamua kuomba msamaha kwa Watanzania na mashabiki

Published 2020-07-29

All Comments (21)
  • Hata mie nilihisi nandy kaanza kubadilika vitabia ila hakuna aliekamilika yamepita
  • @emilymula645
    How can one not tell apart decent vs indecent stuff πŸ€”
  • @muska4real
    Awanaga hata ahibu ya wazazi wao 😭😭😭
  • @helenkambi3918
    Kisha munasema nyinyi ni kio cha jamii. Under my dead body
  • πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
  • @iammusic3404
    Mwenzako Zuchu sauti ndoinambeba shauri yako ngoja machupi yako yachoke kukubeba mana vocally huon ndan kwazuchu Take care dogoπŸ‘Œ
  • @nassorsada213
    Mmmm makubw hay Kos la kwanz si kos ila mrudia kos ndio mbay
  • Kwanza huo wimbo liache lizame mumeimba matusi Sana Mara inadidisha mulipaswa wamufungie kabisa huo wimbo wagekuwa wasanii wa wasafi mugewafugia, lakini hawa wasenge kwanini musiwafugie? Acheni upendeleo
  • Nandy nichoko sana, kashazoea msamaha wake ni upuuzi mtupu ,basata nao wanavichwa vya bata mtu anafanya makosa zaidi ya mara mbili akiomba radhi wanamsamehe tu ,Sijui lini vichwa vyao vitakua vya watu
  • @kelvin8324
    Hao basata wako idle sana what's the difference between video clips nandy amekua aki post na singeli dancing moves??
  • @yunaisamir2099
    Lakin nakumbuka kuna shabiki ali kuambia uka mtukana ukasema huja waomba wao ndo wame kutumia πŸ™„πŸ™„
  • @aminanamoyo83
    Mmmm Nandy unapendwa sana mimi mmojawapo usitudisapoint,halafu unaomba msamaha unacheka hauko serious any way tumekusamehe jiheshimu umekua sasa.πŸ˜”