EXCLUSIVE: DAKIKA ZA MWISHO ZA GARDNER NA BABA YAKE MZAZI "ALINIAMBIA USIPANIKI USIJE KUFA"

193,306
8
Published 2024-04-22

All Comments (21)
  • @nurumbaraka
    Milard, achilia mbali na kipaji ulichonacho katika tasnia yako.... Unaongozwa sana na hekima. Kabla hujatoka Kilimanjaro pitia Arusha umwambie Mama Asante kwa malezi mazuri.
  • @Zaynab-ny6gr
    Mungu akufariji baba na wana tanga wote hasa chumbageni tutakukumbuka daima bro G
  • Millard hongera sana, hakika umeona umuhimu wa Mzee ukaona ukamhoji wewe mwenyewe, umefamya vyema hongera na pole kwako na Mzee Habash. Mungu awape nguvu na uvumilivu.
  • @user-fz1ph3cn4s
    Pole sana Baba Gardner. Mungu akupe nguvu na Faraja, katika kipi di hiki kigumu.
  • @salimsoyo8118
    Mimi ni mkenya ila napenda sana kufatilia interview zako milard kwa hakika Mungu amekubariki big up sana
  • Mahojiano mazuri yenye mengi ya kujifunza katika mapito haya ya dunia Millard ayo upo vizuri kwenye interview zako hongera sana brother 🙏.
  • @leylamohamed9939
    MZEE ANA BUSARA SANA NA PIA MTULIVU MNO 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 HE IS SO HUMBLE.
  • Daah polee sana mzee wetu kwa kumpoteza mtoto wako, Mungu awatie nguvu..Polee MillardAyo
  • @eggysulle7988
    Mwanamme analia ndani ya moyo,,,pole baba 😭😭
  • @graceandrew3988
    Gardner alikuwa very smart kama baba yake, hakika baba amepoteza jembe.R.I.P bro Gardner
  • @Afrikalove736
    Mungu akupe nguvu mzee kwa kipindi hiki kingumu kwa kufiwa na mwanao.
  • @onanarosse9657
    Pole Sana mzee wetu, Mungu awe faraja kwako na familia kwa ujumla.
  • Kuna watangazaji alafu kuna wewe millard ayo aisee unajua una ekima unajua unamhoji nani unapaswa kuongea nini aisee millard mungu aendelee kukuongoza bravo bravo
  • Millard kuwa karibu na huyo mzee, inaonekana kama anafarijika sana kuwa karibu yako.
  • @salomewandya7257
    Dah aisee Baba yuko vizuri sana Busara na hekima zimejaa,Pole sana baba Mungu awape faraja 🙏
  • @user-mf6vv1mf6x
    Millard una hekima sana katka mahojiano yako mungu azidi kubariki kazi yako
  • @nurumohammed1310
    Masikini huyu baba mungu alimjaalia kumpa mtoto mwema Gardner kupata Radhia ya Baba yake Baba akifurahi na akamsifu mtoto wake huyo mtoto mungu atampata fungu lake inshaallah