JANUARY MAKAMBA AMJIBU PAUL MAKONDA MAWAZIRI WANAOMTUKANA RAIS SAMIA" KWENYE CHAMA KUNA FITNA

Published 2024-04-13

All Comments (21)
  • Mungu na awahukumu sawasawa madhambi mliyoyafanya, MWEHU MKUBWA, MAKONDA JUUUU! JUUUUU!
  • Raisi Samia aliwakumbatia wakina nape, January,makamba mwigulu nchembabsasa wacha wamchezeshe gwaride na huyo makonda Kwa ajili anatakuwa waziri yaani anajipendezekeza watu wa CCM wote wabaya mwenyezi mungu atawaonyesha wenyewe Kwa wenyewe na bado tusubiri uchaguzi watowane roho
  • Mungu ni mwema ,mmeshindwa kuumaliza upinzani sasa mtamalizana wenyewe,January Makamba Nape ,Mwigulu ni hatari sana kwa Mama,Mama kuwa makini lisemwalo lipo kama halipo linakuja
  • @user-zc2ms4wl6r
    Nikweli sio uongo mwenye uwezo ainuke aseme kama kama makonda alivyosa makonda nikweli
  • @leusissa3855
    Kwa hiyo makamba anajibu kwa niaba ya wenzake baada ya Kurusha jiwe gizani?
  • @gatuna6
    Huyu makamba ndiye aliye tajes na Malinda au wapo wengine. Jitokezeni kama makamba.
  • Unashangaa nini January mbonq nyie mlikuwa mnamsema Hayati Magufuli na grip zenu zilijionyesha mitandaoni msione ajabu habari ndiyo hiyo muosha muosha Mqma atapita tu na ndiyo maana kamrudisha Makonda hata Baba yao alisema wazuri hawafi laana inatembea jasho litawatoka
  • @user-tg7vq3ty8p
    Nimesikiliza mara kumi (10) clips mbalimbali za Makonda lakini sikusikia akimtaja mtu (Waziri) yeyote. Kwa hiyo inanitatiza kupaona pale panapohalalisha kumsakama Makonda.
  • @user-rs4vz2vt9z
    Mbona mnatueleza jambo tunalolijua?,Fitina imekua ni imani ya chama.nitasema fitina daima imani kwangu mwiko.ukitaka kujua gombea uongozi uone.
  • Makamba fanya kazi lkn urais wa nchi hii hupati labda ukute nyumbu wa Serengeti wakupigie kura,yaani hupendeki
  • @meryevance6744
    Na yy January na Nape nimnafiki ndio walimfitinisha magufuli na bado mengi tutayaona mengi damu ya JPM itawawavurunga
  • January makamba wewe ni mnafiki wa kutupwa ,tunajua nyie ndo mlio mtumia mange kumtusi mama samia.
  • Watanzania tuamke kumekuchaa...karata zimeanza kuchezeshwa, mshindi hakuna,mechi imendaliwa timu zitoke drow, tuingie ligi kuu iwe timu 2 tofauti, tupate mshindi tusiyemdhania!!
  • "YESU, AKAJIBU" WEWE WASEMA !!! MAKAMBA TULIA UKWELI UTAJULIKANA. ANAYETAKIWA KUMJIBU MAKONDA NI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI. MCHAWI WA MTU NI NDUGU WA KARIBU. NI WAZI WATEULE WALAFI WA VYEO AU WENYE TAMAA NA MADALAKA.
  • Huyo naye ameumizwa kivyake, amepigwa kuwa anataka urais lakini ameona watu wachanga pesa ya form itakuwa moja tu ya mama ,sasa anaibuka ,huyo makonda anasema ukweli isipokuwa hayo style ya kuropoka sio sawa,ni hatari hata kwake, aangalia kauli ya mtaafu wa jeshi kusema walichelewa kuapisha mama sababu hakuna na ni nani huyo ? Pagumu hapo kuna issue hapo ndio makonda ana jilipua .
  • @user-ze6lx9ng6s
    Hili ngenge la awamu ya nne ni ufisadi tu,wako kujali matumbo yao tu, RIP JPM