KIFO cha MAUMIVU cha OTTO WARMBIER Mmarekani aliyeponzwa na WIZI, alichofanyiwa utaiogopa KOREA (N)

Published 2023-04-03

All Comments (21)
  • Ninachojifunza hapa, nchini kama marekani inajali watu wake haijalishii popote walipo duniani...
  • Unapoenda nchi za watu fuata mashart ya nchi husika. Acha kuleta uhuni na mzaha kwenye nchi za watu kwa kuhisi nchi yako ni bora sana kuliko nchi ulipo
  • Yaan habari inavosimuliwa unalazmika kuisikiliza hata kama haina impact ya moja kwa moja na maisha binafsi. Keep it skywalker
  • Nipo kwenye basi nainjoy kusikiliza hii sauti ya Mume wa mama Cameroon,,,i love this voice sichoki kuisikiliza
  • Tatizo alilofanya ni kutoa bango kwenye nchi yenye sheria kali la sivyo hayo yote yasingetokea
  • @cicihammy6976
    Hawa wazungu wanapenda sana kuvunja sheria hata nchini mwao! Kwa nchi kama Korea Kaskazini lazima wakupe kibano maana wanakuona kama spy
  • @OnlyRuky
    Oooh Jamaaanii he was very young wangemsamee tu😢 Inalilahi Wainailahi Rajeehun. Sky asante 360🔥
  • Alifanya Kama Wanavyo Jichukulia Vitu Hapa AFRICA Otherwise Pole sana Dunia Chungu Sana
  • @Mina.15
    I will never forget this I seen on the NBC 😢😢😢 I were pregnant with my first child.
  • @K25795
    MAKALA 360 NA SKY NI KIPINDI NUMBER MOJA KWA SASA BONGO BORA SANA YA SIMULIZI ANAONGEA KIIIUFAZWAHA SIO KMA SIMULIZI ZAWENGINE SINAZOJAWA NA UZUSHII BIG UP SANA MWAMBA NAPENDA SNA KWA KAZI UNAYO IFANYA 🔥👏
  • Sad indeed; young and curious...alitaka memento au souvenir from North Korea, big miscalculation. Alikua mdogo sana and brilliant, hivyo inakua ngumu kujadiliana na vijana wa umri huo! Atakua ameteswa huko jela na bila hata ya viongozi wa juu kujua. Kama meno yalikua yamelegea, basi atakua amepata kipigo cha kuharibu ubongo...very sad indeed, and nothing can be done to NK as it's a nuclear time bomb by itself... 💣 Dunia inaiogopa sana hiyo nchi sababu hawajali and have nothing to loose. What untimely death 😔 😠 😡