SIKILIZA QUR'AN IKISOMAWA NA MSHINDI WAKWANZA KATIKA MASHINDANO MAKUBWA YA QUR'AN AFRIKA NZIMA

89,521
0
Published 2024-03-24

All Comments (21)
  • @idayaedson703
    Let me be honesty i’m not a muslim but i like to listen a Quraan🙌🙌
  • @sleimanmohd8465
    Huyu amehifadhi kwa kuisoma na kuiyandika pia,,,, Allah amuweke mbali na vitu vitakavosababisha kutoisoma Quran
  • @user-iw1ro5lh9d
    Sitochoka Kumomba Allah,Atujaalie Vijana Hawa,wanao tengezwa na Masheikh wetu Allah awahifadhi na Awabariki Kwa Kazí yao hii,Wanatengeza Warithi Wema wakuchukua Pahala pao.Allah awakuze katika Khulaka ya Qurani.Ili Dunia iwe na Amani.❤
  • @muhidinally3753
    Sheikh Kishki wewe ndiye uliyyepanga na Allah akuibariki mipango ya kutuwezesha sisi kuisikiliza Quran hii. Allah akupe jazaa hapa duniani nakesho akhera akupe Firdaus. Amiin
  • Mashallah hakika Uislam nibdin ya haki unaskiliza Quran mwili unakusisimka machoz ynakuto❤❤❤
  • Mash Allah nimetani awe mwanangu wa kumzaa. Allah akuhifadhi kijana wetu Quran hii uliyo ihifadhi iwe ije na manufaa kwetu sote Allahuma Amiin.
  • @user-gf9ss7ki8j
    ALLAH atuhifadhie na awaongoze watoto wetu Nasi atupe nguvu wakujua umuhimu wakuisoma Quran nakuisomesha
  • @johnmbwambo8204
    Hongereni sana. Mimi ni mkristo ila kwa hili mmetuacha mabali sana. Hivi ndivyo inavyotakiwa kuhifadhi maneno ya mwenyezi Mungu vifuani mwetu. Inaweza kutuepusha na hila za ibilisi za kuchakachua maagizo ya Mungu
  • Mashaallah kwa siku yakwanza natamani kuwa kama huyu kijana yaa rabbi tujaalie mwisho mwema ummaat Muhammad🤲🤲 Wajaarie shufai wagonjwa waliopo mahospitlin na majumbani🤲🤲 pia warehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki🤲🤲... na utujaarie vizazi vyenye kukutii na kukuogopa yaa rabbi Allahumma Ameen🤲🤲🤲
  • Maa shaa Allah Huyu alistahili ni zaidi ya kila kitu Huyu kajua kuzipa haki harfu na hifdhi yake Ipo saaaaaaaaafi kabisa Hiyo Ndio WEST AFRICA 🌍
  • @zuhuradinya902
    ALLAH AMZIDISHIE ELIMU YENYE MANUFAA ALLAH AWAZIDISHIE KHERI NYINGI WAZAZI WAKE .
  • @user-zg6hx6xi3x
    Afanyiwe mpango ashiriki Yale mashindano ya Quran ya Dubai pia Inshallah
  • @user-qo8uj1ym4m
    ❤ ماشاء الله تبارك الرحمن Allah akubariki na akupe umri mrefu ameen
  • @user-re3zo7ie5e
    Allah akuhifadhi akupe hekma na busara kwenye dini na dunia kwenye kheir akuepushe na machafu
  • @aligodah3622
    Maashallah wabaarikillahu fiyk,hivi ndivo quran inavo takiwa kusomwa,na sio kuchukua hao maceleb wenu wanao ikanyaga quran bila kuipa haki zake kisha mnawasifu eti wanasoma quran vizuli,jaman tusiichezee quran tafazal hivi ndivo inavo somwa mola awajalie wao na sisi kwa kila alo shiriki kwènye shindano hili elimu ynye manufaa mbeleni na daima waendelee kuihifadhi quran ktka vfua vyao yaa rabb,Aamm thumma Aaamin 🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲
  • Mashaallah Allah atufanyie wepesi sisi na watoto wetu wawe miongoni mwa wanaoisoma kuhifadhi Quran, mkono kwa mkono mpaka peponi