DAZ BABA - Je Ni Kweli Alitumia Madawa? | Atoa Ushauri Kwa Vijana - Part 2

Published 2024-05-03
Sehemu ya pili ya mazungumzo kati ya Bongo Project na Daz Baba. Ametudokea kuhusu ishu ya madawa, ameimba vibao vyake pendwa vya zamani ikiwemo Wife, Namba Nane, n.k - Usikose hii

#dazbaba #dazmwalimu #daznundaz #bongoproject #bongofleva

Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.

--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/

--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------

Instagram: www.instagram.com/bongo_project/

Facebook: www.facebook.com/Bongo-Project-102566415873260

TikTok: www.tiktok.com/@bongoproject

--------------------
CONTACT
--------------------
Email: [email protected]

All Comments (8)