ALIA AKISOMA WASIFU - AACHA MAIKI na KUONDOKA JENEZA LENYE MWILI wa GARDNER LIKIWA MBELE YAKE...

115,572
0
Published 2024-04-23
ALIA AKISOMA WASIFU - AACHA MAIKI na KUONDOKA JENEZA LENYE MWILI wa GARDNER LIKIWA MBELE YAKE...


Jishindie Zawadi na Global TV

Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7



============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

All Comments (21)
  • @dottomayala255
    Nimejifunza kitu kikubwa hapa kwenye wasifu huu, tutaacha vyote na tutakuwa na Mungu tu, Hii ndiyo maana yakumtanguliza Mungu katika maisha yetu
  • @user-dk5ib1wb7y
    pole sana kipenzi changu careni mungu akutie nguvu katka safari ulionayo
  • @pendomushi6351
    Tunapaswa tuige mfano mzuri kwake captain kwa hayo mazuri aliyo watendea watu hakika mungu atampa pumziko lenye furaha akifurahi pamoja na malaika poleni sana wafiwa na familia nzima 😢😢😢
  • @itanzaniaAS
    Rafiki wa kukupa Ada ya mtoto tena haraka jua huyo ni zaidi ya ndugu na zaidi ya rafiki 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
  • @user-pm7pj6zi6q
    Poleni sana ndugu zetu family yake G Captain Mungu akuraze Mahali pema peponi Amen 🙏😭 ishallaah
  • @Zubaiba
    Poleni sana wanafamilia,mungu awape subir ktk kipindi hichi cha majonzi
  • Poleni sana familia,tunamwombea kwa Mungu bustani ya pepo ikawe kwake.Nitamkumbuka alihudhuriaga yeye na Lady JD wakati huo bado wakiwa pamoja wenzi harusi ya mdogo wetu Magadu mesi Morogoro.Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi amen.
  • @saraallen6341
    Hii familia ina sauti na lafudhi tamu sana Mungu awatie nguvu na awape faraja ya kweli
  • SubhanaAllah.InshaAllah.yuposehem.salama..lnnalilah.wainnailayh.rajion
  • @rosesilio9008
    Nyinyi jamani kama ana mtoto mwingine nnje hayawahusu mambo ya familia za watu aziwahusu pumzika kwa amani baba gardner🙏
  • @PeninaMlay
    Familia imeshasema n mmoja mbona mnaforce wawili mna uhakika na hilo? Huyo mwngne hajulikan sasa