VITA INAPOKUWA NGUMU | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)

52,631
0
Published 2023-07-24

All Comments (21)
  • @JoanJerubet
    Amen,Nimebarikiwa Na maneno matamu,Mtumishi wa Mungu bwana hakubariki Na hakusitii kutia nguvu unaboeneza injili yake yesu Christo kwa Kuwa hizi Ni nyakati za mwisho
  • @user-ys7mh5ng2g
    yani sina lakuongea ila napenda kushukuru mungu maana mm ni kama ester sikustahili kwa jambo lolote mungu anaweza fanya mambo magumu nashukuru sana mungu kwa mambo ambayo anatenda katika maisha yetu mungu akubariki pastor unanibariki sana
  • Aisee !!nabarikiwa na mafundisho yako,Nakukaribisha sana kwenye Makambi huku Isibania....
  • Shukrani Mungu sna ambaye ama nipa mda kuli fata somo hili, kutoka kinywani mwa mchungaji mteule wa Kristo aliye hai. Nikiwa UAE najifunza kupambana kupita maongozi yake Kristo. Barikiwa na muumba ee Mchungaji David.
  • @FrolianLubanda
    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, Hakika kuishi rohoni kunahitaji kujivika ujasiri
  • je vous suis chaque fois depuis CONGO DRC mon pasteur que Dieu vous bénisse
  • Ubarikiwe mchungaji Kwa mahubiri nimesikia nimepata nguvu ya Imani naomba niombee uponyaji kutoka Kenya
  • Mungu ujibu maombi tangu unifundise njia ya kuongea na mungu
  • @user-id6vb9rc8m
    Mchungaji tuombeeee tuweze kuhama Geita turudi Sengerema Pia Amani na mahusiano mazr kwenye familia yangu Mchungaji