KWANINI TUNAKOSA NGUVU?

60,324
0
Published 2020-08-25

All Comments (21)
  • @EdsonFanuel
    Ahsante Yesu kwababu ya kukutumia paster Mbaga.Yesu umebadili maisha yangu ya kiloho na kimwili. Yesu ahsante ahsante ahsante
  • @user-os3vo4sm2n
    Ubarikiwe sana Mteule wa Mungu David Mmbaga Hakika Unanifungua Akili Maishani mwangu.Tangu nilipoanza kukufuatilia Nimejua Mengi Niliokuwa sijui Mungu aendelee kukutumia zaidi
  • @essymutseke
    Amen amen and amen. Mungu akuongezee nguvu za ROHO MTAKATIFU .
  • Pastor Mungu azidi kukupa nguvu na uhai namshuhudia Mungu kuwa mahubiri Yako yamekuza Imani yangu kwaukubwa sana..umegusa MAISHA YANGU kupitia mahubiri Yako..Mungu wambinguni akuweke hai uzidi kunifungua kirohoπŸ™
  • @jeikary8767
    Mungu akuongeze miaka .vizazi na vizazi vikupata niweze kubabikiwa na neno lako Amina
  • Somo lilikuwa langu. Nimependa huo wimbo wa Roho Mtakatifu. Ubarikiwe pastor; timu yako na uongozi wote
  • @user-ph4qq2cb9h
    May God continue to enrich you with wisdom and knowledge to deliver more,be blessed pst. Mmbaga..Listening from Nairobi
  • Amen Makampi yako tamu sana Naomba Mungu anifungulie njia ili nami niwepo mwaka ujao,Mungu akubariki pastor injili imetufikia huku kwa umbali sana leo umefunza Kabisa na ni kweli tunayo shida ya akili Kweli Baba mwenyezi Mungu twaomba utujaze nguvu Amen
  • @PeterMongola
    Pasta natamani na ninaomba siku moja ufanye mkutano hapa kwetu katesh Hanang manyara, maana nabarikiwa sana na mafundisho yako, Mungu azidi kujutia nguvu na kuinua zaidi na zaidi katika huduma yako, aameni.
  • Amina Mungu anastahili sifa kweli, tafadhali jina la choir hii,nimesikiza wimbo huu mara nyingi kwa video hii natamani kua na huu wimbo maana unanipa faraja ya pekee sana,
  • @MaryMmbone-pz3ps
    We love God bless you umeponya na kuokoa mioyo zilizo potea na taji imekugoja binguni amen tunakukaribisha vihiga county plz
  • @rosemutinda3076
    Hizi testimonies hua zinanibamba sana nikisema Amina πŸ™πŸ™πŸ™
  • Hakika Mungu amekutumia kunizogeza msalabani. Uishi maisha marefu kwa utukufu wa Mungu.
  • May God bless you and your family, whenever iam down spiritually your preaching inspires me "mungu hakuonekanie"
  • Aminaa! Naomba Mungu anijaze na roho mtakatifu nipate kumuona hallelujah Amina
  • I thank God for you Pr. David Mmbaga!!! I have learnt alot about finances and Spiritual life.
  • @elienew3788
    Amen Roho mtukufu wa Mungu Karibu ingia moyoni mwangu nioshe na utakase dhambi na maovu yangu yote na nifanye kiumbe kipya kwa jina la Yesu 😒😒