NAMNA YA KUOMBA ILI UJIBIWE NA MUNGU (SALA YA BWANA). SEH. YA 06

Published 2024-01-24
Mathayo 6 : 9 - 13
Luka 11 : 1 - 13

Shalom!
Kama Wakristo tumekuwa tunaomba lakini hatupokei majibu kwa sababu hatujui namna ya kuomba. Kupitia somo hili Roho Mtakatifu atatufundisha namna ya kuomba na kupokea majibu kutoka kwa MUNGU kama YESU KRISTO alivyowafundisha Wanafunzi wake namna ya kuomba na kuona matokeo.

All Comments (1)