SEHEMU YA 2 : UKWELI KUHUSU MAISHA YA GADNER / NILIUMWA TB / NILIKOSA DAWA

41,142
0
Published 2024-04-20
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News

#r.i.pgadner #tutaonanatena #clouds

All Comments (21)
  • Best interview ever ,.. I didn’t see before 🥲Majority tupo hapa coz G ametutoka
  • @mwasonkambi7207
    Mungu akupumzishe mahala salama kaka Captain Gardner G Habashi ❤
  • @elishaobadia8829
    Huyu mtangazaji huwa anaitwa nani..?anajitambua sana ......r.i.p G
  • Dunian bado kuna watu wazur,Tuzidi kumuomba Mungu atukutanishe nao, Nimependa interview and Rip Gadnar😢
  • @johnluyego9353
    Hongera kwako mtangazani, unauliza maswali ya msingi. Wote ni wa Mungu
  • @Planet_Zong
    Stanslaus Lambert my favourite media pesonality..... Keep it up
  • @ismailwiliam385
    Host ametulia sana na Gadner anajibu vizuri sana hihi ndio maana halisi ya interview and professionalism, media na watangazaji wengine tujifunze kitu hapa smart mind,smart answer, smart move,perfect answer and kubwa zaidi utulivu
  • @erastongussa2334
    Booooonge la interview, Mtangazaji katulia, maswali yanaeleweka, yanaulizwa kwa urahisi,na G, ametulia anajibu simple na straight, safi saaana.
  • Gardner alikuwa mtu mwema sana.,, pumzika Kwa Amani bro.. Kuna mambo mengi nimejifunza kutoka katika hii interview.
  • @Adeen.1
    Wale celebrities uchwala wa no comments...jioni mjifunze kujibu hata kama swali unataka likwepa kuna the right way ya kukwepa inakuwa haiboi...SIMPLE AND CLEAR.