Leo #MariaSpaces tunajadili: Je genge la watekaji liko CCM? Nani analiendesha?

Published 2024-04-18
Leo #MariaSpaces tunajadili: Je genge la watekaji liko CCM? Nani analiendesha?
Tumeona utekaji na utesaji unashika kasi huku kauli za viongozi wa UVCCM na CCM kuonyesha uhusika au kuonya kutenda uhalifu huu. Jeshi la polisi liko kimya! Nani yuko nyuma ya hii?

All Comments (20)
 • @TM-zs3rm
  Pole sana kaka Khalid, toka Ujerumani. Mungu akupe nguvu, uvumilivu na mwanga. Akufungulie njia angalau uwe na kazi na kipato kizuri huko. Mungu ni Mwema sana.
 • @TM-zs3rm
  Swali lako dada ni kama langu. Nani Atatutoa hapa . Hivi mnaonaje wanaharakati, watanzania, mkakaa chini ondoeni tofauti zenu muwe kimoja. Na muwatayarishe viongozi wenu pande zenu mbili wenye uwezo wa juu na ndio wachaguliwe kuwa viongozi. Ni hivi tu . Msikosoane sana, tafuteni common ground mchukue nchi 2025.
 • Hizbola ipo ndani ya Lebanon ndani ya serekali ya Lebanon kikundi kinachozaminiwa na lran ndio kikundi hatari sana ktk nchi ya Lebanon inasilaa nzito technology ya juu iliyopewa na lran hapo Lebanon ndio kikundi kinachoogopewa.mpaka wamerekani
 • Sisi wenyewe ni wapumbavu watanzania.... Hiizi kauli zilipaswa kujibiwa kwa vitendo mbona Wana CCM tunao mitaani?? Tuanze kumalizana nao mbona wao wanajsifu kwa kuwauwa watu bila sababu???
 • Tunaona hata mitaani miji fulani watu wanafanya mazoezi kwa ajili yakuu miza watu nyakatiza uchaguz
 • @user-zj4ii6uf7t
  Eeee MUNGU wa mbinguni tunakuomba uitazame upya Tz yetu na kwa jicho la huruma isiingiye majaribuni.
 • Tusilalamike katekwa mtu lazima upinzani waanzishe mfumo wa kurivengi shika mwana ccm maarufu mnafanya kubadilishana kimateka hapo matisho ktk taifa lataregebishwa na Sheria bila hivyo ccm na police watakuwa watu wa kua upinzani kutisha watanzania wasiunge mkono upinzani nchini
 • Brilliant Magode! Vyama vifanye tafiti kwenye swala Katiba kuheshimiwa na wote!
 • Na wewe maria Sarungi genge na la kupindua nchi si unajua lipo Chadema na wewe ndio mwana harakati unae latibu
 • @user-eo4bl3do8k
  KAMA UTAFANYA UCHUNGUZI NA KUTUMIA AKILI CCM TAYARI WASHAJITANGAZIA USHINDI KWA MABADILIKO YA ULAGHAI YALIYOPITISHWA KWENYE BUNGE LAO LA MCHONGO ,,SASA TUFANYE NINI ? 2024 NA 2025 WATANZANIA WASIENDE KUPIGA KURA