Mch Moses Magembe - MOYO WA MWANADAMU
39,417
Published 2021-03-14
All Comments (21)
-
Mchungaji mungu akuinue na akubariki sana mafudisho yako ni mazurii
-
amen Baba Mchungaji. Bwana Yesu asifiwe
-
Amina Baba ubarikiwe sana Pastor hakika wewe ni mtumishi mwema
-
Amena bb mch ubarikiwe sana kwakweli namipia nimeelimika kwa maubiri ya leo nanime barikiwa pia.
-
Nimeikubali hiyo wazazi wameharibika kwanza baaday watoto
-
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
-
Kweli Baba usemayo
-
Wow..Wewe ni kichwa sawa lkini kikiwa kibovu hakifai tena kuongoza....Ulimwengu huu si wa kutafuta kazi ni wa kutengeneza kazi. I just like it. Baba asante
-
Amina
-
Baba shikamoo nabarikiwa na mahubli yako kutoka zambia mungu akubaliki baba nakuombea kwa mungu akupe maisha marefu naya baraka ,furaha,na upendo Asante
-
Glory and honour be unto Elohim
-
I am blessed by this sermon
-
God bless you pastor
-
Nakupenda sana Mchungaji Magembe MUNGU akutunze baba.
-
Nimebarikiwa. Sante kwa mafundisho mazuri Baba.., MUNGU akutunze.
-
Bwana yesu asifiwe sana Kwa neno la Mungu.
-
I am blessed and transformed my inner man (heart) Thank you Lord for the spiritual renovation
-
Mchungaji Leo umejitahidi kidoooooogo,katika kuelezea makao makuu ya maarifa.Sio kama Yale mafundisho ya kutishatisha ya ndoto ya Daniel.
-
Nime cheka baba Mungu akubariki sana.mbavu zangu zime nihuma kweli🤣🤣🤣🤣🤣
-
Uinuliwee mtumishii