Mke mwema- Mkemwema choir (official Video)

1,759,055
0
Published 2018-08-19
Kitabu cha Mithali 19:14.

"Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali MKE MWENYE BUSARA, MTU HUPEWA NA BWANA".

Ujumbe wa wimbo huu wa injili kutoka Mkemwema Choi Umezaliwa katika mstari huo wa Biblia, tunaamini ukiusikiliza kwa makini wimbo huu, Utabarikiwa zaidi. Asante na MUNGU wa mbinguni akubariki. Amen!

_________
Song: Mke mwema
Artists: Mkemwema Choir
Video Album: MKE MWEMA

_________
►Tazama nyimbo nyingine kutoka katika Album ya Video ya MKE MWEMA👇🏽👇🏽
🔘Dunia isikuhadae ~    • Dunia isikuhadae - Mkemwema choir -of...  
🔘Kwa Maana ~    • Kwa maana - Mkemwema choir (official ...  
🔘Yeriko ~    • Yeriko- Mkemwema choir  (official video)  
🔘Njoo Kwangu ~    • Njooni  mpumzike (official video)  
🔘Upewe Sifa ~    • Upewe sifa- Mkemwema choir (official ...  
🔘Wema ~    • Wema hauozi- Mkemwema choir(official ...  
🔘Mbiu ~    • Mbiu ilipigwa- Mkemwema choir (offici...  
🔘Heri Sifa Njema ~    • Heri sifa njema- Mkemwema choir  (off...  

_________
►Tufikie kupitia Kurasa zetu za Kijamii
🔘Instagram ~ www.instagram.com/mkemwemachoirtz/
🔘Facebook ~ www.facebook.com/mkemwemachoirtz/
🔘Twitter ~ www.twitter.com/mkemwemac/

_________
►Mawasiliano Zaidi
📞 Simu: +255 755717519
📩 Barua Pepe: [email protected]

_________
Haki zote zi

All Comments (21)
  • @rehe310
    Who is still listen to this in 2024 ❤ 🥰
  • @user-de9gf2wi9o
    2024 Tunakula matunda ya wimbo mzur usioisha utamu, hakika wimbo huu ni ufunuo kutoka ktk mbingu
  • 2023 na bado niko humu❤ naipenda hii nyimbo tangu nikiwa na umri wa miaka 6 2007 Hii nyimbo itabaki kuwa nyimbo bora kwangu miaka yoteeee.
  • @pulikisia7963
    Hata stepu zao zimeokoka yaani zina upako yaani zinahubiri, sare zao ndo usiseme🤗Safi sana.
  • Wimbo huu umenifurahisha sana nawapongeza sana wanachoir hawa from kigoma mimi ni murundi alakini huu mwimbo nisomo kwasiwote warundi nazingine inchi za Africa thanks
  • Wimbo safi Bwana wa mbinguni awabari, waibaji wa sikuhizi jifunzeni uvaaji na mtindo ya uchezaj kupitia kwaya hii
  • @izacknanyaro870
    Ni moja kati ya nyimbo zenye mvuto nnauangalia 2021 hongereni
  • Sijui waliamia wapi awa waimbaji wa Kasuru Mjini Mda mrefu wamepotea walikuwa safi Sana KWA nyimbo na muonekano wao.Wakina Mama wakiwa na Natural Beauty Face zao.Hakuna Face feak au nywele Vyote Natural.Shukurani Sana Anza upya tunawaitaji ? i
  • Mke ni mwili wako u Nani wewe wachukia mwili wako My mom's favorite choir MUNGU awabariki Sana kasulu
  • @joshuabihali
    Niliushuhudia wimbo huu live pale mlima wa moto mikocheni b
  • Mbarikiwe sana watu wa MUNGU mimi nabarikiwa ninaposikiliza na kutafakari wimbo huu, kweli napata kumuona mke wangu ni mpya siku zote. Leo tuna miaka 22 tuna amani kwelikweli,niwaombe nanyi muishi kwa kuutafakari wimbo huu.mbarikiwe.
  • @ciciandjojo7701
    Wimbo mzuri saana. 2023 naendelea kubarikiwa 🤲🙏😘