KOSA HILI LIMELETA LAANA KWA WENGI (OFFICIAL VIDEO)

72,624
0
Published 2019-03-12
HII NDIO VIDEO RASMI YA LILE SOMO AMBALO TULIRUSHA LIVE NA LIMEBADILI MAISHA YA MAELFU YA WATU NDANI YA MDA MFUPI.

All Comments (21)
 • @costernyamba3752
  Nabarikiwa sana na somo hiri ninapitia hayo katika familia yangu nahitaji kubadirika kupitia somo hili
 • Kuanzia leo naacha manu'guniko kwa jina la yesu nahitaji baraka kutoka kwako๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 • Mchungaji Mungu na Akubarikisana tena sana, Umenifungua macho. Mimi si msabato, ila Mungu akinisaidia sa sa na ahidi kuwa adivantista, je? Nimeona kwenye video hii, je,nihalari kuva kofiakwenyekutataniko la wakristo?
 • @kelvingallo8262
  Ninakushukuru sana kwasomo hili maana najiona nami nimiongoni mwahaya manung'uniko kuanzia sasa yashindwe kwajina la YESU
 • @lilianlima8609
  Ni kweli na hakika Jina la Bwana lihimidiwe, ukitembea kwa imani mambo yote yanawezekana katika jina la Yesu, tubarikiwe sote.
 • @herip4300
  Leo Kwa mala ya kwanza nalipanda jukwaa hili la comment kiukweli mungu anaowatu maalumu anaowatumia ili kuwafikia watu Wa wenye kila aina ya mitazamo na mapokeo mbalimbali " binafsi Mimi natamani kuwa na imani pia elimu ya kiroho kama wewe ๐Ÿค“๐Ÿค“
 • MUNGU ni wa ajabu...Kweli anatenda....japo ni muda umepita, BWANA amenitendea na mimi.JINA LAKE Litukuzwe
 • Umebadilisha maisha yangu Mungu anisamehe maake hata mimi huwa nalalamika sana Mungu akubariki Pr kwa ujumbe huu
 • @eustina0
  Mungu anisamehe kwa kunungunika niliona nikawaida Mungu ahimidiwe siku zote๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 • Naelewa Mungu hutujali sana ila ikiwa tunashida twamwangalia yeye ndie msaada kwetu kwayote
 • nakufuatilia makundisho yako saaaana nikiwa canada najengwaga sana Mungu akuongeze upako mtumishi Mbagwa
 • @bobog9732
  napenda mahubiri Tv sana Mungu azidi kuwabariki kwa mahubiri ya kila siku
 • Hapo kwa kunungunika pastor umenena nami, na nimepadilika mungu aniweseshe kabisa