Tulikuja bila kitu (Official Video HD)Jumuiya ya Mt.Selestine Muzinga Parokia ya Nshamba -Bukoba
5,743
Published 2023-05-14
All Comments (20)
-
Mungu awabariki sana aisee. Baba paroko unafanya kazi kubwa sana Mungu akuzidishie. Nimemuona mtaalam Theodomid
-
Mbarikiwe wa nyumbani, Am very happy. Hadi nimemuona Eligius my best. Barikiwa nyote
-
aloooohhhh🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌hii ni Kali mno aisee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hongereni muzinga
-
Mbarikiwe sana kwaya ya Mt.selestine nimefalijika Sana Munguu awainue katika utume wenu,
-
Mbarikiwe sana na Mungu wetu azidi kuwainua katika viwango vya juu zaidi💓💓👋👋
-
Hongereni sana kwa utume kazi nzuri sana ,,video ina ubunifu mzuri sana
-
Mungu hawabaliki mmeimba3vyema❤❤❤
-
Mbarikiwe kwa uinjiishaji..
-
Hongereni haswa wapendwa wimbo mzuriiiiiiiii
-
Father Evody hongera unaupiga mwingi!!Mungu akubariki!
-
NITUMIE nafasi hii kukushukuru Baba yetu kwa kuongeza vipaji vyetu
-
Asante kwa kazi njema mbarikiwe amina
-
Paroko upewe maua yako🌹
-
Father safi kabisaa hiyo helicopter 😅
-
🙏🙏
-
Kama nawaona vile
-
Theodimid na mama Rede
-
Nije work
-
Mungu hawabaliki mmeimba3vyema❤❤❤