EXCLUSIVE NA KISHIMBA:SIRI YA UTAJIRI WANGU/ WATOTO WAFUNDISHWE KUTAFUTA HELA/SIJAWARITHISHA WANANGU

107,522
0
Published 2023-06-09
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News

#Dar24 #Dar24Media

All Comments (21)
  • Hayati Rais John Joseph Pombe Magufuli amewafungua wananchi swala la kufikiri,kujaji na kuunda hoja.Mungu amuweke mahala pema peponi Amina
  • @Ohhvio
    Best interview 👌 Kuanzia Mwandishi hadi Interviewer! Ni Elimu Kubwa Sana hii Hongereni Dar24media
  • Shule aliyosoma Prof kishimba ameisoma sehemu tofauti na amelipia gharama kubwa sana kuliko elimu ya kawaida.
  • Uko vizuri brother katika kuuliza Maswali umenifurahisha utafika mbali
  • Mh. Kishimba nakusaluti,upo vizuri sana with your critical thinking,unaona maisha katika uhalisia wake.Ahsante
  • @3107young
    Uyu mbunge ni baraka kwa serikari kama haya mawazo yangefuatiliwa kiundani tungefika mbali sana kama Tanzania 👏👏
  • Jamaa alikuwaga radio station mbeya, nimetoka school likizo nikafungulia radio, sikujua kuwa ni radio ya mkoani mpk kipindi kilipoisha. Its good ni hatua kubwa, anatakiwa aende hatua kubwa zaidi, mosi uelewa, kujua kwenda na mabadiliko, kipawa na consistency Hongera sana
  • "Sio waoga kwasababu hajui madhara saa nyingine kutokujua madhara ni faida pia". Quote imenyooka sana
  • Mzee kishimb💥💥💥anafikilia Sana na anaongea vitu vizuli Sana na vyakweli kiuhalisia
  • Mungu azidi kukubariki Mzee kishimba...unaongea ukweli mchungu ambao Sisi wa Afrika wengi atutaki kukubari
  • Professor tuko pamoja the change should start with us to change our country system
  • @johnminja2025
    Big up sana Mzee Kishimba. Nakumbuka tulivyokupokea Harare ukafungua kiwanda Ginery na ukarudi nyumbani kugombea ubunge. Wewe ni jembe.
  • Huyu mzee yupo sahihi sana,wengi wetu tumewachia watoto kwa kuamini elimu zao wamewadondosha sana wazee wao
  • Kaka wewe ni Mtangazaji Bora sana,Nakuomba siku Moja nikuone kwenye Chombo kikubwa Cha Utangazaji kama BBC,VOA,DW ,TBC,AZAM and so on.
  • hongera saaana moja wa matajiri wakubwa wazawa waliobakia ,baada ya Kufariki Dr.Reginald Mengi.