Vita Vimekoma

Published 2017-06-22

All Comments (21)
  • @JohnThadayo
    Toka mdogo nilikuwa naupenda huu wimbo mpaka leo 2024 mpaka sasa na miaka 38
  • hizi nyimbo ni nzuri sana sababu zina nguvu ya Mungu naamini hamkutumia akili kuzitunga bali Roho Mtakatifu aliwaongoza, naomba Mungu azidi kuwaongoza mtunge nyimbo nzuri zaidi na zenye nguvu ya Mungu pasipo kutegemea akili zenu,, barikiwa sana,, natamani kuona nyimbo kama hizi tena, God bless you..
  • I still don't understand why this of our generation can't sing such spiritual songs.personally listened to this song since I was young and not stopping anytime soon.
  • @sovajulius3870
    The Great Singers of all Times I see Beatrice with her natural beauty till now keep up with your hubby.Sweet voice as always.
  • @jkanumba
    Hivi hii album ilitoka lini maana mie nakumbuka nimeanza kuiona na kuisikiliza mwaka 2002 mwanzoni!
  • @sanfordkway435
    Nimeanza kusikiliza wimbo huu tangu 1999 hadi leo ninaukubali
  • Vita imekoma hakika ' nyimbo hii itadumu vizazina vizazi waimbaji mtunzi nlishukiwa narohomtakatfu wakat wakatunga nakuimba hi nyimbo
  • Toka mdogo nilikua naipenda Sana huu wimbo mpaka sasa 2022 mbarikiwe Sana waimbaji wote.
  • @geraldsanga7261
    Haleluya! Kwa kweli natamani siku zirud nyuma. Mungu awainue watumishi wa Bwana mzidi kushikamana na muepuka migawanyo ili kwaya hiyo idumu daima. Tambueni kuwa mnawaponya na kuwavuta wengi kwa Kristo. Fanyeni kama kwa Kristo!
  • @petermagosho50
    Daaa nakumbuka mbali sana. Wimbo mtamu sana, yaani unajikuta tayari uko mbinguni!
  • Ahsante sana Bwana Yesu kwa kunikomboa kutoka katika utumwa wa dhambi
  • @sebimalaki6686
    Naupendaga sana winbo huu hakika utaishi mile huu wimbo
  • @luisojr3480
    Dada Angu Beatrice Na Waimbaji wote mbarikiwe Sana nimekumbuka mbali Sana Aisee Ni mda now tushakua watu wazima saivi Ni kwa Neema tu My all time Choir of all time🙏
  • Nilikuwa naupenda huu wimbo sana mbarikiwe miaka hiyo nskumbuka mbali nikiwa napita kwenye dhiki nikiimba huu wimbo nafarijika
  • @rogartlema5120
    Natatamani kuwabariki na big lunch...35 yrs listening to this album