Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa Joel Arthur Nanauka

541,702
0
Published 2018-09-08

All Comments (21)
  • @raginauthor1881
    POWERFULL WORDS. Nguvu ya kusaidia wengine huongeza marambili nguvu ya kujituma kwako kwani itakuingia moyoni na akili kwamba wapo wengi watakao hitaji msaada wako na kukupa nafasi ya kushukuru kwa hapo ulipo. Kitu pekee tunachosahau ni kwamba Kila unayekutana naye analo la kukufunza mbali na vile ambavyo unamtazama. nimejifunza mengi sana, Dima kuna wazungumzaji wengi ambao nimewahi kuwasikia, kama unakumbuka nilishwahi kukueleza mara ya kwanza kabisa kabla hata kitabu cha TIMIZA MALENGO Hakija toka, kulipokuwa kwenye promotion, kwamba wazungumzaji wengi au wajasilia mali wengi, wanafundisha sio yake wanayoishi au kuyafanya ndio maana wengi wakisoma kazi zao hakuna mabadiliko, but tangu nilipoanza kukufuatilia nikakubali kwamba sasa yupo mzungumzaji Tanzania
  • @mercypedha5519
    The biggest enemy that is killing my dream is Myself ! There is always a potential but we are afraid to fail and learn ! I must step out of my Comfort zone! !! Thank you Hon.Joel πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ’•
  • Haijawahi kutokea kuskiza vipindi vyoko Joel nikamwagika machozi kama leo Wallah nimelia imenigusa in my heart
  • @officialnuh7217
    Cube!!!! Kibaha sec school, umenikumbusha maisha ya Mapisi na kila kitu pale kibaha sec school!!!! God bless you, Wakati nipo pale kibaha sec school nliwahi kuugua na Sina hata sent moja, rafiki angu mmoja alinisadia pocket money yake ikaisha na akawatafuta na wengne
  • dah!! hii hakika ni passion yakoπŸ™Œ Mungu akutunze ndugu yangu,, unafanya kwa kiwango cha juu sana..! A man of de impact ( a strong effect)
  • @najmabajun202
    daaaah nime anza kukufatilia na hakika nikifatisha vyema masomo unayo tufunza wallah nitafika palenapo taka fika shukulan my brother πŸ™πŸ™πŸ™ ume nifungua mengi
  • @levinamrema8
    Nataka niwe motivation speaker nifanyee mambo gani
  • @kwizboy7449
    Asante xn kwa ujumbe mzuri kaka Joel lakn unaongea sana kizungu kwa mama yangu pale kasulu anashindwa kuelewa kizungu kinachukua nafasi kubwa mbaya zaid unapofika kwenye point unaongea xn kizungu
  • Daaa!!! Teacher hapa ulitema madini mwanzo mwisho unaongea vitu hadi nahisi upo mbele yangu Kaka, "GOD BLESS YOU MY TEACHER OF MY LIFE"
  • @neemaerasto1842
    Mungu akubariki sana maneno yako yananipa nguvu ya kufanya mambo kwa kujiamini sana sitakata tamaa be blessed more
  • Nanauka MUNGU AKUPE HAJA YA MOYO WAKO ,KWA JINSI UNAVYOTUPA VITU VIZURI VYA MAISHA, BE BLESSED JOEL
  • OMG..asante kaka, nimechelewa kusikiliza hii lakin umenisaidia kwa kiwango ambacho hakielezeki, asante
  • Safi sana kaka kwa kweli umebarikiwa na huna hiana kutowa kwa hicho ulicho barikiwa na mungu. Mungu atazidi kua na ww na pia akuzidishie kipato cha halali ili uweze kuendesha familia yako.
  • @peterswai391
    Nice fact kaka God bless more brother Dodoma Tanzania
  • @carolineifee800
    Aky nimekupenda bure kwa maneno mataaaano sana ya kutia mtu moyo wallai thanks so much and god bless u
  • Jamani hayaa madinii hatarii sanaaa,big up my brother joel nanauka kwa kuzidi kuniongezea maarifaa kila cku mungu azidi kukipa power.
  • @favourspapatv
    Maneno yako yanapiga Kama mawimbi ufukweni kwa samaki anayekaribia kukata tamaa.Kongole Sana Mkuu.
  • Nimejikuta asilimia 90 ya ulichokizungumza kinanigusa! Hongera sana kwa kipaji ulichonacho