Diamond adai Ziiki wameufuta wimbo wa Lava Lava Kibango, atangaza kuanzisha kampuni yake mwenyewe

Published 2024-04-20

All Comments (21)
 • Jamaa yupo na IQ kubwa sana alichokitaka ndio ziki walichokifanya yani kacheza karata tatu nandiomana kamsakizia lavalava cz anajua ana faida nae sana, hapa mbinu yake ilikua kutafuta ugomvi hili afungue kampuni yake safi sana apige pesa na nguvu anayo yakufanya hivyo jamaa ataiteaka tasnia ya muziki Tanzania
 • Ipo ivi iyo ndo inaitwa jeuri ya fwedhwa..heshima pesa shikamoo makelele
 • @user-zn2kx7uj3c
  Big Simba dangote sisi mashabiki tupo pamojanawe hata ukipanga kufanya mapinduzi ya ichi tunamngoa mrissi❤❤❤🎉🎉🎉
 • @kwisa4899
  Wa Tanzania ni watu wa kujisahau, wakazi alitoa angalizo
 • @user-jz6lm5yv4f
  Hongera sana mondi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wew ndo mkombozi wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
 • Lakin pia mond ni mfanyabiashara, kaona huu hautofanya vizur nadhan pia
 • @jembelakijiji
  Waaah noma hii sasa kaka tuma nyimbo distorikid basi
 • @evansmumo3921
  Mara nitanunua jeti.. Eheee mara sijui nina mkataba wa hela nyingi na ziiki