UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless

Published 2024-06-26
Welcome to Heaven Sound online tv Kenya, is not in vain for you choosing this channel. Surely Jehova God is going to do a mighty wonders in your in ur life,

Contact the following number for the following SERVICES;
_Piano training
_Tutorial Videos
_Vocal coaching
_Recording to our studio HSP
_Mixing and Mastering production class
or even you can send your support via M_Pesa number +254759829257.
God bless you, Shalom. #youtubekenya #viral #praiseandworship #uk #australia #diaspora. (Cover)Nitase by Ali Mukhwana. (COVER) Usifurahi juu uangu by UPENDO NKONE.

All Comments (21)
  • Wale wote tunaoamini kwamba iko siku Yesu Kristo atarudi kutuchukuwa twende kuishi naye paradise gonga likes kwa utukufu wa Jehovah Mungu wetu .
  • Wenye tumekuja hapa straight from Ticktok to get the whole song tungoge likes tukisonga๐Ÿ‘. I tap the anointing in Jesus name๐Ÿ™๐Ÿ™
  • Wale ambao tumehisi baraka kupitia huu Wimbo piga like tukianguka nayo
  • Mwenye hii song imeguza na kujikuta analia akiomba piga like tukisonga๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  • @kevinbarasa4997
    "Na kizazi changu kiiishi kujua Mungu anaishi,Anaponya na ndiye Njia ya Uzima wa milele"๐ŸŽ‰๐Ÿ˜Š
  • @joakim.254
    uniondolee majivuno, komesha kiburi๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข utawalee akili zangu bwana niongoze ๐Ÿšถ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพ uifundishe roho yangu habari za mbingu โ›ช "sikizeni eee kizazi changu, Mungu anaishi...." ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
  • @gloriaamase9764
    Mungu baba simama na inchii yangu Kenya tumekukosea kwa mdaa mrefu twaomba msamaa baba๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
  • @ShadrachSyanda
    Let's gather here to tap this anointing,be blessed son of God min Dan bless as you minister nations๐Ÿ™๐Ÿ™
  • We need Rose Muhando's like here too ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
  • @user-qr5dk9rd8d
    Dan ne bless aki nilirudi tena kwa church juu ya kusikiza hiz nyimbo zako nilikua nimekataa tamaa ya maisha kabsa aki but know thanks aki nimesimama tena God bless you so much naeza shinda siku nzima nikisikiza hizo nyimbo hua nasikia faraja ya ajabu๐ŸŽ‰๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  • @baibegee
    ๐Ÿ™ AMEN *Uniondolee majivuno, komesha kiburi, tawala akili zangu, Bwana niongozee, Amen ๐Ÿ™ ๐Ÿ™Œ
  • @rosenyakio1222
    Direct from TikTok โฃ๏ธโฃ๏ธnani amejaribu kuskiza hii wimbo kwa system with volume yote๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
  • Amen and Amen ๐Ÿ˜˜ uniondolee majivuno....komesha kiburi...utawale akili yangu....๐Ÿ™
  • @FatumaMombo
    Wale wote wanaoukubali huu wimbo kuanzia kwa Rose mpaka sasa remix gonga like hapa
  • Amen ... sauti ya Rose Muhando itaishi hata ulimwengu wa pili. Barikiwa ndugu kwa kudumisha uhai wa wimbo huu.
  • Am leaving this comment here for you to see if you are like or un like but if you like I'll be back to watch this video again ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
  • Mimi na nyumb Yangu tutamtumikia Bwana๐Ÿ™๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ™