Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)

8,668,200
0
Published 2020-06-12
All our voices to our Lord God the creator of the universe.We will not stop,THE GLORY AND GREATNESS IS WITH HIM forever and ever,Amen.

Welcome to KMKMAKUBURI,

You can support evangelism through

⭐MPESA TILL NUMBER🇰🇪: 9948385
NAME: EVELYN JEPKEMEI

⭐MPESA LIPA NAMBA 🇹🇿: 5425652
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO

⭐MPESA 🇹🇿: +255742000089
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO

⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
A/C No: 3390899162
Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
Swift code: KCBLTZTZ

You're warmly welcome

All Comments (21)
  • Wimbo unaougawa moyo wangu vipandevipande,niliugua kidonda mguuni kwa mda wa miaka miwili.Dawa zote za hospital sindano na vidonge kila nilipojitahid kutibu kidonda kilizid kuongezeka na kuvuja maji mda wote.niliamua kutoka dar es salaam na kurudi nyumbani.nilikuta flash yenye huu wimbo.Nilikuwa najifungia sitting room huku nikilia na kuimba huu wimbo.Ndan ya mwez mmoja kidonda kilikauka na kupona kabsa hadi leo.Kwa kweli nipo hapa kueleza furaha niliyonayo na hamu ya kukushukuru!! sikia Bwana saut yangu!!
  • I sang this song throughout an interview until I was confirmed CEO.Its my song of victory
  • @YonahGwasma
    Namkumbuka teacher wangu wa o- level anatufunfishaga how to play piano lkn ndo Ivo now we are far from each other
  • Nakumbushwa wakati wangu Wa high school 1998_2001,nilikaa nyumbani Miaka mbili juu ya frees but Mungu Ni Nani alifunulia walimu wangu milango wakanichangia pesa for late registration wakanitafuta HM Na nikaregistiwa,picha ya yote I came out successful though sikuendelea Na cjui kilui but I thank God for opening the door for me,
  • Nabarikiwa sana na kwa hii,kama nawe unabairkiwa na kwa ya KMK makuburi gonga like hapa
  • @annm.2983
    Hakika wewe ni Mungu kila wakati, In 2008 I lost my elder sister, In 2010 I lost my husband, Yes, I was left under care of our 2 girls, The youngest being 11 months. Now my first born is in campus pursing degree in IT Naona wazi kwamba..... wewe ni Mungu kila wakati
  • Sikia aa sikia Bwana, Sikia aa sikia Bwana sauti yangu Sikia aa sikia leo Sikia aa sikia Bwana sauti yangu. Hii sauti inabeba hisia zangu Zilizomo moyoni mwangu sikia Bwana sauti yangu Naeleza furaha niliyo nayo Na hamu ya kukushukuru sikia Bwana sauti yangu. Nakufunulia moyo wangu uko wazi, Nakumiminia, sifa na tenzi Mwenyezi, Napiga kelele usikie Bwana sauti yangu Sikia aa sikia Bwana ( Mungu we) Sikia aa sikia Bwana sauti ya moyo, Moyo,moyo, wangu moyo, moyo, moyo ha ha- // k i i t i k i o // Nimejua ya kwamba - wewe ni Mungu kila wakati Naona wazi kwamba - wewe ni Mungu kila wakati Kwenye furaha - wewe ni Mungu kila wakati Na kwenye magumu bado- wewe ni Mungu kila wakati Haupungui neno - wewe ni Mungu kila wakatii // m a s h a i r i // Hukutaka raha zinipe kiburi - aeee eee ukanipimia. Na taabu ziliponishambulia - - ukafungua (Bwana) mlango nikatoka salama. Na vipaji ona hukunipa vyote - aaee eee ukanipimia. Ingawaje nilipoweka juhudi - ukafungua( Bwana) mlango nikatoka salama. Sikuumbwa msafi kama ulivyo, aaee eee ukanipimia. Hata hivyo dhambi iliponisonga, ukafungua ( Bwana) mlango nikatoka salama. // h i t i m i s h o // Yeyeyeye yeyeyeyeye yeyeyeyeyeeeeee Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia Maana utukufu ni wako milele na milele- Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia Maana utukufu ni wako milele na milele. Nakuja nimebeba shangwe, na chereko Nakuja nimebeba kinanda watu wakuimbie- Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia Maana utukufu ni wako milele na milele. Nakuja nimebeba sifa kukupamba nakuja nimebeba maua jama watu wakutukuze- Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia Maana utukufu ni wako milele na milele. Milele na milele, milele na milele, milele na milele,milele ni Mungu wa pekee...*5 * (Bass) Wewe ni Mungu, wewe ni Bwana, we ni mwema, utabaki Mungu X2 * ( Tenor) wewe ni wa kwanza ni Mungu weee, wewe ni wa mwisho eee Unaitwa Alfa ni Mungu wee, wewe ni Omega eee
  • @charymutai891
    I remember the year 2022 when i was admitted in mtrh for almost a month,i thought i was going to die but this song always gave me hope each day.today ,2024...listening to it in good health,I really thank God,am grateful.
  • am hereafter the mwingi choir accident,this is da last song they sang happily not knowing what was before them,kweli we ni mungu kila wakati,may their souls continue to rest in eternal peace,
  • This is the song that inspired me to join priesthood now I have finished my philosophy and I have joined novitiate in Ghana. God bless this choir