LISSU atua TZ anena KUTUMBULIWA kwa NAPE na MAKAMBA, MSIGWA kuhamia CCM na MGOGORO ndani ya CHADEMA

87,660
0
Published 2024-07-26

All Comments (21)
  • @isackphilipo9870
    Wooooooooh muujiza unatembea amerudi Tanzanian we are so proud of you. Warmly welcome back. Na iringa tumeandaa kumpa kura mgombea urais na ubunge CHADEMA
  • Lissu karibu sana wewe ni Muujiza unaishi endelea kumuhofu Mungu aliyekulinda na maadui waliokuwa wanataka kukumaliza.
  • @user-wj6zj1ly4e
    Chuma imerudi kutoka ubeligji, msigwa atalimia meno, hk chuma kiski cha mpingo
  • @janiafaomaa5120
    MASIKINI LISSU KWISHA KAWA MZEE KAMA ANAMIYAKA 100 NILISEMA MIYAKA MIWILI ILIOPITA LISSU ATAKUWA KAMA JON MACEN WA REPAPLICI WA MAREKANI KAPEWA CHANSI NA CHAMA CHAKE MARA NEE 4 HAKUPATA MPAKA AMEFARIKI DUNIA ALIKUWA NAMDOMO KUSHINDA LISSU
  • Nyie mbwa mbona mnakata kata maneno lisu yenye point😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
  • mnapoteza muda2 lisu mama ni mama 2na ndio tuna Iman kubwa mno na raisi wetu mama yetu mm samia tuna mpenda mnoooo❤❤❤❤
  • @halimamasai2234
    Mkimbizi karudi nadhani akili sasa ndo basi tena msema ovyoo 🤣🤣🤣
  • @SaidiMtagwa
    NIMEKUELEWA SANA KWAMBA KUHAMA KWA MSIGWA KUSINGEKUWA NA KELELE UNGESHANGAA SANA!!!
  • @Aksa-yk1dp
    Big up broo unaongea vzur had nashawishka kukupa kura yangu