EXCLUSIVE: DAHUU WA CLOUDS - AELEZEA STORY YAKE YA KUONANA NA MZUNGU AMBAE HAKUWA ANAFAHAMIANA NAE

111,963
0
Published 2021-01-09
Zamaradi Mketema amefanya mahojiano na Dahuu wa Clouds FM kupitia Leo Tena ambae ameongea mambo mengi ambayo hajawahi kuongea popote pale

Familia yake, mume wake, kazi yake, safari yake, mafanikio yake na mengi mengine

All Comments (21)
  • One of the excellent interviews Zamaradi. Wote muko vizuri inakufanya upende kusikiliza mwanzo mwisho. Dahuu mbali ya kuwa very strong lady amshukuru Allah kwa kumpa bahati pia ya kufanikiwa katika mambo mengi. Namuona atafika mbali zaidi namshauri aanze sasa kufikiria pakubwa zaidi ya kuwa hapo alipo Inahalah atafanikiwa.
  • @swaumkatuga7474
    One of the best interview 👌 nimeenjoy Sana❤️❤️❤️❤️
  • @bupejohn2926
    Imani ni kilakitu kwenye maisha asa ukimuamini mungu
  • Fantastic, mume wako ni kama wangu surely umeongea kweli wanawake wengi wanapenda wanaume ambao wako proud na wake zao,ila hii inategemea na aina ya mwanamke
  • @fatmasayid8895
    Dahuu mashalwa M.mungu akuongoze kwa kila jambo nimekupenda bure mtu mwenye khofu ya M.mungu. M.mungu akupe umri swali wa kufanya mema.
  • @shomyuledi9599
    dahuu nakukubalii sanaa upo real hana kuigizaa maishaa mungu akupe maisha marefu kwenye ndoto zako
  • Nice interview 👏🏾👏🏾👏🏾 Hongera sana husna.wewe ni jembe. Mzungu anasemaga “you can't beat a person who never gives up”
  • @pendorose8056
    Nampenda sana da huu na mpenzi sana wa leo tena,una sauti nzuri mnoo dada na kipindi chenu mnaelemisha sanaa jamii nawapenda
  • @leilamuhaji7945
    Alhamdulillah, MashaAllah ☺ nimeelimika na nimeburudika. Nakukubali dada Husna, dada Zama hongera kwa exclusive nzuri
  • @hamispazia8325
    Akili nyingi sana Da'huu, yaani umakini kama wote, nimefiatilia hii interview mwanzo hadi mwisho kwakweli binafsi nimekuelewa sana. Mungu akuhifadhi akupe kila lililo jema.
  • @OnlyRuky
    Jm watu wanatoka mbali. Very nice interview.Dahu Mashaalah.
  • @ashaasha6065
    Daah nimecheka chozi limenitoka nimejifunza kitu kutoka kwako da huu mungu azid kukupa uwezo zaid inshaallah upo vizuri
  • GEA plz wow Nampenda sana huyu dada na GEA plz nataka kuwajua wote kwenye kipindi chao "LEO TENA" Ila sio mwijaku hao wengine NAOMBA ZAMA PLZ PLZ🎊🎊🎊🎊🙏 Asante ZAMA WANGU NIMEFURAHI KUMSIKIA HUSNA
  • @khdigahk4246
    Ata mm nimesafili sijui napoenda sijui naenda kwa nani na atalugha sijui lkn nashukulu nipo mbaka Leo hii kuamini mungu tu
  • @rahmaawadh9411
    Nimejifunza kitu kikubwa maishani kua binadamu hatakiwi kukata tamaa katika maisha ..Best interview ever Zama your the best!!!
  • @stewartjohn5338
    Nme enjoooooy sanaaa kuskiliza best interview cc @zamaradi @dahuuu
  • Such a sweet dad, Money is not everything but love is❤️❤️, BIG UP TO ALL SUPPORTING DADS. Husna Nimekupenda Bure, you are such a strong woman, umenifanya nikutazame kwa namna tofauti sana.
  • Hongera sana huu, wewe ni shujaa, mchakarikaji usiyekata tamaa. Hayo ndio maisha bila.kukata tamaa
  • @callmesubra5472
    Interviews zako da Zama zina vingi vya kujifunza, keep it up