#EXCLUSIVE: ISHA MASHAUZI AWALIPUA SHILOLE na ESHA BUHETI - "WOTE HAWAJUI KUPIKA"...
10,099
Published 2024-07-26
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Ta...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
All Comments (21)
-
Dada isha ameongea mambo mazuri sana jamani wanawake tupendane
-
Isha ww nomaaa nakupenda sn upo vzr sn nakuaminia
-
Kwel Isha anajua kupika sanaaaa
-
Uko vizuri nakupenda bure
-
Nakupenda cn da Isha Mungu akutangulie ila nimeipenda CN kauli yk ila zidi kuwasihi na ndugu zetu waache uwo utoto akuna anaye ijua kesho yk
-
Shishi bromley nilimbukeni katokea bara si mstaraabu hajui mahadhi ya pwani kwa hiyo saa zote kutamba mimi tajiri mimi najuwana na wakubwa mimi nauza sana majisifu mengi shishi hana mpango mjue
-
Kweli kabisa ukipika uwezi kula time iyo iyo mm huwaga ivo
-
Katika watu waneongea ukwel Kati ya wote kwenye hili sekeseke bac Isha mashauzi kaongea point
-
Kweli dada hata mm nikitoka jikono kupika huwaga siwezi kula tym oyo
-
Yaan esha asingeongea chochote ameonekana analilia tuzo hata asingecomment kitu
-
-
Dada Isha una akili sana na unabusara
-
Nikiru nitakuja kukuungisha inshaallah
-
Ntakuja isha unifunze
-
Umeongea vizur ndug funga ndoa
-
Mshinde ni esha njo mpishi
-
Yeye akubali tu akisema mwenzake amenunua tuzo je yeye mwaka jana ali nunua pia ebu aache roho mbaya
-
Mwanamke nikujiamini
-
Huwezi jua mtu anaroho mbaya mpaka ukanaye
-
Patima