MPAKA HOME ,ALIPOKUWA ANAKUJA DIAMOND KUFUATA SARAH,"NENDA KAMWAMBIE ,NDIO HAP

146,742
0
Published 2024-04-29

All Comments (21)
  • @AbduliHamidu
    Team sarah tukutane hapa jamani hii ocoun ya inster mbona haiji❤❤
  • @Ba63828
    Very shy, very elegantly pretty, very natural looking best of luck girl na jamii ikuzidishie neema kwa unyenyekevu ulojaliwq.
  • @RoidaMbemba
    Ki ukweli dada uko vizuri ingawa cjui kiwango Cha elimu ,unajiamini,uwezo mkubwa wa kujieleza hivo.big up sana.
  • Maisha safari ndefu sana tena isio eleweka dada tumia nyota yako alio isafisha dai tafuta wataalamu wakupe mikakati diamond amesha kupeleka mjini
  • Safi Sana baki hivyo wewe Mzuri tena Tamba ulipendwa kihalali kwanza hujui kujipendekeza ingekua mwingine tungekuona Kila Show ya Mondi haki unajiheshimu Kongole kwako ❤❤🔥🔥🌷🌷🌷🙏🙏
  • @loulumony8519
    Kbx dada anakutajaga san diamond alikupendag kweli🎉
  • @jamalahmad4173
    Huyo Dada Ana nidham Sana. Sijuwi Kama Amepata Mume.. 🤲
  • Yaaaani huyu Dada hata hatumii nguvu nyingi...very simple elegant classy gal
  • @lydiampayo597
    Sara anapendwa jomoniii❤comment zote hapa ni MASHA ALLAH 🎉
  • @AdorophinaBenda
    I love you Sarah!Napenda ustaarabu wako,upole na ukarimu wako.kwa kwel uko tofauti kabisa na wanawake zake diamond wote alio tembea nao.ww ni mwanamke mwenye stara.
  • @user-vt4vd5rh8u
    Sara yuko vzuri hashoboki alafu yuko natural sana hajajichubua na pia hana lile tako la kuchua kama wengine 😂😂😂😂 hata maneno yake yamejipangilia hajishetui.