MPAKA HOME ,ALIPOKUWA ANAKUJA DIAMOND KUFUATA SARAH,"NENDA KAMWAMBIE ,NDIO HAP
148,332
Publicado 2024-04-29
Todos los comentarios (21)
-
Team sarah tukutane hapa jamani hii ocoun ya inster mbona haiji❤❤
-
Ki ukweli dada uko vizuri ingawa cjui kiwango Cha elimu ,unajiamini,uwezo mkubwa wa kujieleza hivo.big up sana.
-
Very shy, very elegantly pretty, very natural looking best of luck girl na jamii ikuzidishie neema kwa unyenyekevu ulojaliwq.
-
Kbx dada anakutajaga san diamond alikupendag kweli🎉
-
Kelele Moja kwa sarah akeeee nimekupenda Bure madam Sarah
-
Mrembo simple Amefanana na shamsa ford
-
Toa iyo davin king eka sara kamwambie....
-
Kumbe huyu dada ndo alimwimba hata UKIMWONA ❤
-
Moyo wangu mbona unampenda Sara hivi tena nimemuona siku mbili tu❤
-
Maisha safari ndefu sana tena isio eleweka dada tumia nyota yako alio isafisha dai tafuta wataalamu wakupe mikakati diamond amesha kupeleka mjini
-
Mbona anafanana na queen darling wife yake😂😂
-
Yaaaani huyu Dada hata hatumii nguvu nyingi...very simple elegant classy gal
-
Huyo Dada Ana nidham Sana. Sijuwi Kama Amepata Mume.. 🤲
-
Sara anapendwa jomoniii❤comment zote hapa ni MASHA ALLAH 🎉
-
Zuchu mshamba tu ajiaminu Sara mzuri wew
-
Safi Sana baki hivyo wewe Mzuri tena Tamba ulipendwa kihalali kwanza hujui kujipendekeza ingekua mwingine tungekuona Kila Show ya Mondi haki unajiheshimu Kongole kwako ❤❤🔥🔥🌷🌷🌷🙏🙏
-
Dada anajua kuongea sana bigup sarah
-
I love you Sarah!Napenda ustaarabu wako,upole na ukarimu wako.kwa kwel uko tofauti kabisa na wanawake zake diamond wote alio tembea nao.ww ni mwanamke mwenye stara.
-
Naona kama kafafana na queen darlin
-
She’s better than all of emm😍❤️