NYAVUNI | Goli la Onana dhidi ya Namungo lashika nafasi ya kwanza, Guede,Balua watisha

7,285
0
Published 2024-05-02
Goli la Willy Esomba Onana dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa NBC Premier League, limeshika nafasi ya kwanza kwenye magoli 10 bora kwenye Nyavuni wiki hii.

Nafasi ya pili imeshikwa na goli la Joseph Guede, Yanga ikicheza dhidi ya Coasta Union.

Nafasi ya tatu imeshikwa na goli la Edwin Balua dhidi ya Coastal Union

All Comments (7)