#ZaNdaaani MWAMBA HATAKI KUBAKI / KAPOKEA OFA KWA MAJAYANTI WA DSM / TAJIRI KAVURUGWA ANAMLILIA
89,668
Published 2024-05-02
#wasafi #wasafitv #wasafifm
All Comments (21)
-
Ricardo momo π π mwamba wa zandaaniiiiii kabisa wenye kukubali za ndani kabisaaaa njoeni tupige laikisi hapaπ π π π
-
Code ya leo ilikua nyepesi sanaa ππ Kwa maslahi mapana ya kijana mwenzetu wa kitanzania kama kweli fursa za nje zipo wamwache aende banaa
-
Kwli mzee baba wew nakukubali sana
-
Mkandaji
-
Hahaha , kibu denisπ π
-
Karibu kibu
-
Momo ni Story teller mzuri sana
-
momo mzee wa code ngumu ππππͺπΉπΏπ¦πͺ
-
Uongo wa mchana huko!!! Kazi yenu kuwachonganisha watu! Hakuna kla bu professional itakwenda Kwa mchezaji aliye na mkataba wa zaidi ya miezi SITA,ikaenda Moja Kwa Moja Kwa mchezaji!!!
-
Kibuu
-
Kibu di Kibu deeπππ ni MWANANCHI.
-
Kibu denis
-
Hii uwongo sana
-
Kibu D
-
Bora umewambiya wanachanganya weka wazi tunaaribu mb kuwaskiliza nyinyi
-
Kibu
-
Simba hawana tabia ya kuwabana wachezaji wake ikitokea ofa ya ukweli
-
Iringa haisikiki kwa muda wa wiki tatu sasa hovyo kabisa jaman mbna hamko makinii
-
Kibu denga π
-
Kibu Denis nn aende tuu kwa aman