"Mawazo" Sehemu Ya 55 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia..

4,462
0
Published 2024-04-28
Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. [email protected]
Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo

Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : web.facebook.com/gospeltvshow/
Instagram : www.instagram.com/chomozanews/
YouTube : youtube.com/c/ChomozaTV?sub_confirmation=1
#ChomozaTv#2024

🔥🔥

All Comments (21)
  • @lionewstv6333
    Dr Ahsante sana kwa Kuwa mafundisho yako ni Nuru kwa Maisha Yetu
  • @HawaAlly-nl8rf
    Jamani like tafadhali views 250 kwa like 30 sio sawa kabisa.
  • Hakika dr wewe utabaki kuwa ww kiupekee daima umenitoa mbaali hapa nilipo niseme t Mungu azidi kukuzidishiaaa zaidii🙏🙏
  • @olemonah
    Asante sana Kwa kushare Tena mapema mno! Mungu awabariki nyote. Dr. Ellie Akhsante sana
  • Tangu Umeanza Kufundisha Dr now nina PhD Ya Madini unayo tufundisha. # Sina Neno Zuri Zaidi Ya Kusema Shukuran Na Mungu Akubarki Zaidi.Maaana NAMI nmekuwa Mtu wabaraka Kwa wengine Kupitia Ww Dr.
  • @ebonybhoke5321
    Asante sana dr Ellie,ninajifunza mengi na mafundisho yalo yamebadili maisha yangu kabisa na mtazamo wangu wa maisha
  • Kizingiti namba mbili ni UPENDO.Upendo ni dhamira ya kutokufelisha mambo na maisha ya watu wengine. Asante Chomoza. Pongezi Dr Ellie, ❤🎉 nimejifunza.
  • Shukran Sanaa kwa ujenzi huu wenye msingi wa ukweli harisi wa maisha ya umilele, Hakika MUNGU Ni mwema
  • Dr. Ellie, nakufuatilia Sana na unatoa elimu kubwa Sana ambayo nami nanufaik nayo Sana. Natamani siku Moja ufungue code juu ya Kanisa la kwanza in relation to denominations/Religion and other beliefs after 100 years AD.
  • asante baba ad nataman selekali ingetengeneza utaratib juu yaulinzi wako japo mungu yu nawe ubarkiwesana baba
  • Asanteni sana kwa kutuhudumia.Sisi hatuna cha kuwalipa. Mungu mwenyewe atawalipa. Amina. Jimmy, sehemu ya 8 na 9 hazionekani. Tunaziomba. Asanteni.
  • Sasa ina maana gani kufeli ili usi felishe wengine, Hao ndio upendo huyo