MCHOME: Amwaga chozi kisa 'Kibu D' kwenda Yanga SC • Dili limekaa hivi • Amkumbusha walipomtoa.

44,832
0
Published 2024-05-02
Salamba Tv.

Link ya Telegram:
Njia rahisi zaidi ya kupata kifurushi:
t.me/salambatv_bot

Link ya kujiunga na Whatsapp Channel yetu,
JAMVIKA NA SALAMBA.
whatsapp.com/channel/0029VabTOHv23n3fCJHKRm1c

Tunatoa huduma ya Ubashiri wa matokeo ya mechi,
Tunatoa mikeka kwa njia ya sms za kawaida zinazowafikia watumiaji wa huduma zetu kila siku,
Kuanzia:
Saa 5:30 asubuhi : KIFURUSHI CHA PREMIUM
Saa 7:30 mchana : KIFURUSHI CHA V.I.P

JAMVIKA NA SALAMBA
BONUS TIPS
Levadia Tallinn vs Paide Linnameeskond (ESTONIA) : 1X ✅
Malmo vs Djurgadens (SWEDEN) : FT - Home Team (0.5) Over ✅
Dynamo Kyiv vs Veres Rivne (UKRAINE) : 1 ✅
Liverpool W vs Chelsea W (ENGLAND) : Ov1.5 ✅
Esperance vs CS Sfaxie (TUNISIA) : 1X ✅
Sassuolo W vs Roma W (ITALY) : Ov1.5 ✅
Stellenbosch vs Lamontville Golden Arrows (S. AFRICA) : 1X ✅
--Total Odds: 2.20

All Comments (21)
  • @deokibona2835
    Mbona Yanga tulimuweka kwenye ramani Fei toto, lakini ilitoka Kwa dharau Sana na wanasimba mlimsapoti Sana? Acha kibu akatafute sehemu anayoona inamfaa zaidi.
  • @anithqpaul3923
    Kalibu Sana kibu mungu akuzidishie nguvu kalibu yanga 🎉🎉🎉🎉🎉
  • @FowardMtulia
    Safar Moja uanzisha nyingine mwachen aende akaangalie maisha mengne
  • @user-qu1dz2ed1b
    Mchome upo vizuri wewe ni v . A . Wa tanzania 🎉🎉🎉🎉🎉
  • @jonashaule229
    Salamba TV kwani mnamlipa sh. Ngapi huyu shabiki wenu kwa kumvesha jezi ya Simba maana anaonekana maokoto anayafurahia saana 😂😂
  • @user-tq5ox8qb7q
    Kwani kibu amefunga ndoa na simba kibu ana maisha zaidi ya simba acha mchezaji aishi maisha yake
  • Mpira ni biashara RONALDO kaondoka madrid, MESS kaondoka barcelona BUT vilabu vyote vimeshiriki UEFA bila hao nyota so kibu ni naniii asiondoke aendeee timu isajili wachezaji best quality so hizo polojo hapo mzitoe ongeani timu isajili na si vinginevyooo😬😬😬😬😬
  • @user-ql2hc7zt6b
    Mchome wew ni simba kweli mbona una amani san kuliko mangungu na gb 64
  • Simba wa kimuchia kibu kuna sita fahamu mna kumbuka mchezo wa okwi kwenda yanga kuna mchezo hapo
  • @Mgema001
    Messi alikiwasha barcelona na bado akaondoka😂
  • Lakini yanga wanaitakia nini Simba?wamchukue huyo Kibu na huyo Chama wao
  • Me ndio naamin ww huna akili na haujui kutengeneza picha zako vzr unaongea kuliko ally kamwe umegeuka kuwa msemaji wa yanga
  • @AsiaNgoleka
    Mchome ana % ktk hizi media za habari za michezo