Watoto 12 wa Mzee Mwinyi (6 wa kiume,6 wa kike), watajwa kwenye wasifu wake,Elimu na mengine yatajwa

243,660
0
Published 2024-03-02

All Comments (21)
  • Inna lillahi wainna ilaihi rajiun,Allah amjaalie Qauli thabit na pepo yenye darja,Amuepushie adhabu za qabri na fitna za masihul dhajjal
  • Pumzika kwa amani mzee wetu mzee ruksa bila wewe sisi maskini tusingekuwa na tv baba upokelewe na upate pumziko la milele amina
  • @hailinhelen4675
    kichwa kimeodoka ...Allah akujalie rehma na maghfur unako kwenda yarabb akusamehe makosa yko na kukubalie mema yko na pepo janat fardous iwe makazi yko yarabb ..wewe mbele na sie nyuma yko .Allah atupe mwisho mwema yarabb 🤲
  • @tataii6520
    Rais Mwinyi ni moja kati ya Marais waliokuwa na moyo mweupe na safi mno kuwahi kutokea
  • @user-ml5tq8hj2x
    Wazazi wangu wamenihadithia kuwa mzee. Alifanya vzuri sana katika uongozi wake watu walikuwa pagumu mnoo mzee kikwete rais mstaafu umebaki wewe tz tunakutazama kwa ushauri mkubwa Mungu mkuu akutie nguvu
  • @jenisalanga6097
    M/Mungu amlaze mahali pema peponi,bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.AMINAA 🙏🙏🙏🙏
  • Maisha ni Hadith tuu na leo tunakumbuka maneno yako, na hadith yako inasimuliwa yoote ni ya kheri tunakutabiria mema na ulipo kosea Allah akusameh pamoja na sisi ya Rabbi Atusameh
  • @mariamfritsi4943
    Mungu akampe kauli dhabit,na amuepushie na adhabu ya kaburi, na akampe pepo daima.Inna Lilah Wainnailah Rajuun. 🙏
  • Innalilah wainaileh rajiun Sisi ni ALLAH na kwake tutarejea Mwisho mwema YAA ALLAH 😭😭🤲🤲🤲🤲
  • @marysona9999
    Pumzika Kwa amani baba yetu Mwinyi😭😭😭😭😭Kwa hakika umekuwa hadithi nzuri kwetu tunaosikiliza huu wasifu wako tangu miaka hiyo ya ASP! Asante Kwa kazi zako katika Taifa letu la Tanzania😭😭😭Pumzika kwa amani baba.
  • @lyrics_forum
    Ukiona Hadi Wananchi wa Hali ya Chini Wamehuzunishwa na Kifo cha Rais wao hatakama Amestaafu Jua Aliishi vyema na Alitenda haki kwa Kila Mmoja. Pumzika Salama Rais wangu, Nimezaliwa Zama zako, Msalimie Mwamba Magufuli na Kamanda Nyerere Waambie Legacy zao bado zinaishi. Tunaendelea Kuteseka na Umeme huku.
  • @Izonecommunity
    Alikuwa ni Al-Haji Dr Ali Hassan Mwinyi, kama itakuwa nimeielewa vizuri wasifu wake.
  • Alikuwa mzuri mno, haki ilikuwa ndio neno lake. Kulikuwa na fulsa kwenye uongozi wake
  • @rahmasalim1989
    Innalillah wainnailaihi rajiun, Mwenyeez Mungu amrehem Insha'Allah na amsameh makosa yake. Amjaalie kaburi lake kua miongoni mwa nyumba za peponi Insha'Allah.
  • @user-kk5nf3pu1g
    Masha Allah blessed ume Tangaza vizuri sana Mungu akuinue zaidi na zaidi amin
  • Baba yetu Mzee mwinyi alikua mushauri wakeli na ndipo katwambia maisha ni hadhi