HAKUNA ULAZIMA WA KUNG'ANG'ANIA WATU - JOEL NANAUKA

112,530
0
Published 2022-08-16

All Comments (21)
  • @aoman5214
    ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญKaka Kaka nimekuita mara zote Asante Sana Kwa somo zuri nilikua nalazimisha Sana mpaka ikafik Mahal najiona Mimi sio chochote,, mwanaume kubadilika kunipigia cm kunitukana ๐Ÿ˜ญna mtu wake daaah ninaumia Sana ni mwezi sasa Ila nashukuru Mungu nakutana na masomo kama haya najipa nguvu ya kuendelea ๐Ÿ™๐Ÿ™
  • Toka nilipo achana na rafiki yangu nilie mpa nafasi ya kwanza katika mambo yangu, kutengana kwetu kumebeba faida nyingi sana kwangu Kaka. Na naisi Mungu amenitenga naye kwa nguvu ,maana mwenyewe nilimbembeleza sana Mara ya kwanza mausiano yetu yalipo yumba,bila kujua kuwa alikuwa ukuta mkubwa wa kuzuia baraka zangu.
  • Kaka asante km umenijulia vle mana nlikuwa king'ang'anizi narushiwa maneno machafu lkn bado ila kuanzia mdahuu ntajithidi japo moyo hautaki kukubali๐Ÿ’”
  • Joel Nanauka Mungu aendelee kukutumia kama apendavyo unaokoa mioyo ya wengi
  • For real Mr Joel you were created by God to save people, thanks for wonderful lesson.
  • Ubarikiwe kaka joel umeongea point kweli kweli,,mungu aliniondolea baadhi ya watu,,ndio hii leo nimepiga hatua kubwa katika ndoto nilionazo nashkuru sana
  • NA comment tena yaan hijakosea ni kweli niliolewa na wanaume wenye uwezo lkn hawakuweza kufanikisha ndiyo zangu na hii ilinipa changamoto sana ktk maisha yangu.. Lkn nilipoamua kusimama mwenyewe n kumuomba mungu nimeweza kufanikisha ndiyo zangu mm mwenyewe bila ya msaada wa mwanaume yoyote.... Tena mungu alivyo n majaribu kwetu alinipa sehemu ambayo ya kazi. Ambayo sikuitarajia ktk maisha yangu kuifanya.. Nimesomea kingine nimeenda kupata mafanikio kwa kazi nyingine yenye dharau ktk jamii lkn nilisema hiki mungu ndiyo slivhonikafiroa ngoja nifanye na kweli nimefanikisha na vingine zaidi Kwa NEEMA tu๐Ÿ™๐Ÿพ
  • @johanjoha5262
    Jambo Kaka,kilasomo lako n nazidi kunufaki najifunza saaana Saana kwakifipi ukbariki kwa byote, Love from๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ
  • Ni kweli kabisa kaka, japo kwangu huwa ni mchungu, lkn ntajitahidi kuachia kupitia masomo yako ubarikiwe sana kaka
  • Pamoja na yote nashukuru kwa yaliyotokea cna budi kukubali matokeo na maisha yanasonga
  • Nimeamua kuacha hapo katikati๐Ÿ™Œ maana najiona naangamia ila sasa nimesema sitaki tena kuhangamia๐Ÿ™
  • Mungu akubariki kaka yangu , yaani Mungu amekutumia kama malaika kwa hiki kizazi. Mimi nilikua na dada ambaye alinikosanisha na familia yangu, mama yangu aka nichukia, na ndugu zangu zote, kwa ajili ya ulimi wake wa kutunga uongo, niliangaika nikawa homeless nikiwa na miaka 12 nilipo fika 24 Mungu wa rehema aka nisafirisha nchi za kigeni nilipo fikia miaka 26 wamilele akanibariki na mume ivi ninayo family kwa huruma za Mungu ; na yule dada alifariki mwaka wa 2021 Mungu amulaze mahali pema peponi
  • Ni kweli kabisa sababu MUNGU anajua tutakapo na tuendapo wewe cha kufanya jiachilie tu kwa Mungu atakutumia vema
  • Asante doctor umenisaidia Sana nilikuwa natabia ya kung'ang'ania nimejua Mungu anasababu na mimi
  • @elimikatv
    Real coach kunabaadhi ya watu wanakuja kwetu ili tu kutupa lessons then wanatoweka ivyo hatuna sababu yoyote ya kuwang'ang'ania, kikubwa n kujifunza kwann wamekuja upande wetu.. Thank you coach
  • bro joel nanauka nakupa hongera nying sana,napitia kipindi kama hichi ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข
  • @babybhalo8723
    Nimejifunza kitu kipya leo.... mungu akubariki sana.kupitia masomo yako naendelea kuwa mtu mpya na mwenye maono mengi na mazuri kwangu na wanangu... Asanteeee ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  • Asante sana kaka Joel hakika umenifungua ufahamu wangu kiukweli kwa akili za kibinadamu ni ngumu sana kujua haya God bless you my Brother.๐Ÿ™
  • SoMo zuri Asante Mungu Kwa kuniondolea wale wasio faaa katikaa maisha yangu