KOREA KASKAZINI ina BALAA! KIM JONG UN azindua Makazi 10,000 ya KIFAHARI, watu wataishi BURE

Published 2024-04-21

All Comments (21)
 • Wamarekani ivyo wao wivu umeshahanza uyu raisi wakorea ni fimbo sheria zake ni nzuri Korean kaska zini ni inchi nzuri ❤❤❤❤ apewe mahuwa yake
 • Aisee vyombo vya habari vya magharibi ni watu wabaya sana sasa nani dikteta kim au wao?
 • @user-ii6gs2jg4g
  Haya Mambo wamagharibi Hua hawazipendi kabisa wao wanataka waone kila siku binadamu wanateseka
 • @nizarrama225
  Hiyo gari ina ubora kuliko gari ya rais wa marekani, point of correction
 • @user-ql6hg7fy9p
  Vikwazo vinafanya kazi kwa mataifa ambayo viongozi wake hawajitambui kama wa kwetu Afrika, Afrika na Tanzania tunakwama kwa sababu tuna viongozi washereheshaji, ili tuendelee tunahitaji viongozi watendaji kama alivyokuwa JPM.
 • @BONGOINMOTION
  Nchi ambazo zimekata na kupoteza culture Yao siku zote Huwa ni WA kuyumba yumba,,,ndio sawa na tz,n.korea ni nchi ambayo IPO connected na asili yake hivo lazima wawe na umoja na nguvu
 • @sund2553
  Tanzania bado tuna Tajirisha viongozi washibe kwanza 😅
 • Halaf kuna Muafrika mwenzetu kaaminishw kua Korea Kaskazini ni nch maskin kupita kias
 • Wamarekani hawapendi haya mambo ya free maana maisha yao wanategemea sana, hawana vyanzo vingine vikubwa vya mapato
 • @btsanime6138
  Marekani ni wapotoshaji wameisema vibaya north korea rais kim jung un vibaya nawakati yeye anapenda wanainchi wake vizuri sana.
 • @SM-fu1yv
  Mmarekani ni mdomo wala hawezi kupigana
 • Skayi izimambo tunazipenda sana tenasan najiskiafalaja San kwaiyistoli naomba muendelezo 🇧🇮💐👊👊👊👊
 • @rashadally6871
  Kwani kuna ulazima kupata like... Acheni ujinga mama...
 • Halafu utasikia Korea Kaskazini ni masikini hana lolote ni nchi nzuri tatizo ni nchi za magharibi zinatengeneza maneno ya hovyo