CHEKI DIAMOND ALICHO KIFANYA KWA CHRISTINA SHUSHO MBELE YA MAASKOFU, ZUCHU ANUNA

462,570
0
Published 2024-03-31
#Mwanahabari digital Fuatilia Channel ya habari za kijamii,siasa zinazohusu Tanzania
Akaunti zetu za mitandao ya kijamii
Instagram: habari_digital,
Facebook:Mwanahabari digital
Twitter:HabariDigital
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia

All Comments (21)
  • @bronick5810
    Mimi kama mchungaji kutoka Kenya nasema hivi, wengi wa wasanii wa nyimbo za injili sio Tanzania tu bali ata hapa kenya, walianza na Roho lakini sasa wanamaliza kwa mwili kwa sababu ya pesa . Tumhofu Mungu jameni
  • @yetu10
    Katika Uinjilisti Christina ako Sawa Wacha Watu Wote wajue Habari ya Mungu.. Mungu anawataka Wote tumjue na Tumtukuze ❤️👍🙏
  • @nasmiriti3141
    Hapa nyavu ya yesu kashika diamond Amen Hallelujah
  • @kungujoel7989
    Christina was so humble in the past nowadays she is so proud 😢
  • @matendomwera
    Rudi malangoni mwa Mungu nyimbo zako hazivutiye tena kama Zamani ulikuwa naimba na watu wanaingiya kiroho
  • May God save diamond that when his days draw near...can acknowledge Christ for his future eternity...
  • Christina i really love your Ministry you're such a great Woman of God hua naomba tu Siku Moja kuongea nawe i love you shusho
  • @paulineakoth6534
    I Iong for the days that I wasn't yet born again but I could just put wakuabudiwa. The spirit of God was in her old songs. Nowadays, wah! Mungu atusaidie. Let's notie to the Most high
  • Diamond platnam simba mwenyewe hata ujanguruma lkn imejulikana upo. Wakuache miaka 800 . Mungu akubariki sana diamond
  • Precious people of GOD ALMIGHTY, let us repent and go back to the old rugged cross of JESUS. We should not modernize the cross of JESUS by mixing light and darkness that's apostasy.JESUS is coming let us repent and prepare the way.
  • Christina shusho nakupenda sana nyimbo zako nzuri endeleza upendo kwa wote maana yesu hakubaguwa aliwalisha wote neno la mungu wa milele
  • @user-fl3jx8wr4p
    ❤️❤️ safi sana maman Christine anapo kua karibu na mtu wetu DIAMOND PLATNUMZ SIMBA tuna sikiya furaha mingi sana kwakweli mungu awabariki na aendelee kuwapa afia bora milele na nguvu yakuendekea kuimba nyimbo nzuri ♥️♥️
  • @godof2ndchance38
    What does light got to do with darkness. There's a big problem. Two cannot walk together except they agree!
  • @JaneLaizer-tb6zl
    Christina shusho jitafakari upya ni mwimbaji mzuri Sana laki Hadi hapo unakatisha tamaa mungu akurejeshe upya maana du