Zijue sababu kwanini YANGA SC hawashiriki michuano mipya • TFF na ZFF wazipokea Simba na Azam pekee.

36,900
0
Published 2024-04-21
Salamba Tv.

Link ya kujiunga na magroup yetu,
JAMVIKA NA SALAMBA.
chat.whatsapp.com/HKTTvxUEMbQ5cVkFFsjWZw

Tunatoa huduma ya Ubashiri wa matokeo ya mechi,
Tunatoa mikeka kwa njia ya sms za kawaida zinazowafikia watumiaji wa huduma zetu kila siku,
Kuanzia:
Saa 5:30 asubuhi : KIFURUSHI CHA PREMIUM
Saa 7:30 mchana : KIFURUSHI CHA V.I.P

JAMVI SPECIAL
2024-04-07


Zamalek vs Future : 1X ✅
Dreams vs Stade Malien de Bamako : 1X ✅
Radnik Surdulica vs Crvena Zvezdad : Ov1.5 ✅
--Total Odds: 2.06


Brest vs Metz : 1X ✅
Pirin vs Ludogorets : Ov1.5 ✅
Sparta Prague vs Mlada Boleslav : 1X ✅
Hannover 96 vs Schalke 04 : Ov1.5 ✅
Zenit vs Baltika : 1X ✅
Inter Miam FC II vs Huntsville City : Ov1.5 ✅
Groningen vs NAC Breda : Ov1.5 ✅
--Total Odds: 2.04

JAMVI LA JUMAPILI

Cagliari vs Atalanta : Ov1.5 ✅
Salzburg vs SK Rapid : 1X ✅
Sheffield Utd vs Chelsea : Ov1.5 ✅
Peterborough Utd vs Wycombe : Ov1.5 ✅
Feyenoord vs Ajax : Ov1.5 ✅
Manchester Utd vs Liverpool : Ov1.5 ✅
Frosinone vs Bologna : X2 ✅
Lamia vs Olympiacos Piraeus : Ov1.5 ✅
Aris Thessaloniki vs Panathinaikos : X2 ✅
Club Brugge vs Anderlecht : Ov1.5 ✅
Tottenham Hotspur vs Nottingham Forest : Ov1.5 ✅
--Total Odds: 5.29

All Comments (21)
 • @brownmasai774
  Simba msiende kuiaibisha Bara tena. Size yenu hiyo hapo. Mshindwe wenyewe!!
 • @JastinAlphonce
  mmh kwani ligi yetu inafananishwa na ndondo cup,, Jesus Christ 😂😂😂
 • bora wakae wapumzike iyo michuano aisaidii wapmzike tuna robo final ya crdb na bado tupo na michezo mingi ya nbc acha kolo waende waone kama watapata walau ako ila wakumbuke yupo mlandege 😂😂
 • Ni michuano mizuri sana katika kuboresha Muungano wetu! Hongera wanaoshiriki.
 • @user-zw8eq4ch2t
  Mpira ni biashara nashangaa yanga kujitoa wakati ni michezo miwili tu timu inapata pesa, na pesa inatolewa kwa kila anayeshiriki hata kama hajawa bingwa. Kumbukeni hii ni michuano inayogharamiwa na seikali mojakwamoja. Kwa hiyo kuna maokoto ya kutosha. Tatizo viongozi wa yanga huwa wanamisimamo hata pasipotakiwa, kitendo walichokifanya ni kuizalilisha serikali yetu wakati wakipata jamu kidogo tu wanaililia serikali.
 • @athumaniddi5736
  Wamiliki wa mbeleko wameiweka kando Yanga ingeshiriki ingewatia aibu washiriki na kuzivuruga club kabisa.😅😅😅😅😅
 • @JuhudiJotham
  Ninyi wachambuzi kuweni wazi msiongee msichojua,hapo Simba anatafutiwa mbeleko furani mbeleni,
 • TFF NA ZFF acheni kukurupuka ndiyo maana michiano yenu yanakosa ufanisi na weredi. Kama ni suala la kukuza ushirikiano wa muungano mbona mashindano ya kombe la Mapinduzi yanajitosheleza? Utitiri wa michuano kama hii isiyo na tija inaziongezea timu gharama kubwa za uendeshaji bila faida wala tija. Kuna namna mbalimbali za TFF na ZFF kuziinua klabu kimaslahi lakini si kwa upuuzi huu. Mpira sasa hivi ni biashara si siasa! Hongera YANGA kwa kuona mbali!
 • @ezekieljohn9216
  Shidà hapa wangechezesha droo kuweka haki ya kila mmoja. Hapo wanekosea TFF NA ZFF BORA.

  ISSUE YA YANGA KUANDIKA BARUA INGEKUWA WAZI KAMA BARUA ZINGINE.

  MMETUPA WAKATI MGUMU KUWAZA BILA MAJIBU.

  NASHAURI TFF IENDELEE KUIJULISHA UMMA KWA MJIBU WA BARUA.
 • Hatuitaki hiyo michuano, tunataka kuchukua UBINGWA wetu na Kuendelea KUJIFUA kuijenga TIMU yetu...🖐️✌️
 • @user-nx5gr7nf1n
  Simba hawana kombe watengezewa kombe nawao lakin hilo azam hawaliach
 • @jamalmwenda3278
  Hapo naona mmechemka. Michuoni hii ni mipya. Miaka 20 iliyopita kulikuwa na Ligi ya muungano. Ambapo Bingwa alikuwa anashiriki club Bingwa Afrika. Na nafasi ya pili alikuwa anashiriki shirikisho au kombe la washindi. Hapa ni kombe jipya la muungano. Kusherehekea sikukuu ya muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar.
 • @jacobmgiye6252
  Hahahahahaaaa!!!!!!!!!!! Makolo vs TFF mmeona nguruwe fc hatakuwa na kombe lolote mmeamua mmtafitie kombe kilazima.