#ZaNdaaani MWAMBA HATAKI KUBAKI / KAPOKEA OFA KWA MAJAYANTI WA DSM / TAJIRI KAVURUGWA ANAMLILIA
92,301
2024-05-02ใซๅ
ฑๆ
#wasafi #wasafitv #wasafifm
ใณใกใณใ (21)
-
Ricardo momo ๐ ๐ mwamba wa zandaaniiiiii kabisa wenye kukubali za ndani kabisaaaa njoeni tupige laikisi hapa๐ ๐ ๐ ๐
-
Code ya leo ilikua nyepesi sanaa ๐๐ Kwa maslahi mapana ya kijana mwenzetu wa kitanzania kama kweli fursa za nje zipo wamwache aende banaa
-
Kwli mzee baba wew nakukubali sana
-
Mkandaji
-
Karibu kibu
-
Momo ni Story teller mzuri sana
-
momo mzee wa code ngumu ๐๐๐๐ช๐น๐ฟ๐ฆ๐ช
-
Hahaha , kibu denis๐ ๐
-
Kibuu
-
Kibu di Kibu dee๐๐๐ ni MWANANCHI.
-
Uongo wa mchana huko!!! Kazi yenu kuwachonganisha watu! Hakuna kla bu professional itakwenda Kwa mchezaji aliye na mkataba wa zaidi ya miezi SITA,ikaenda Moja Kwa Moja Kwa mchezaji!!!
-
Kibu denis
-
Kibu Denis nn aende tuu kwa aman
-
Hii uwongo sana
-
Hahaaaaa lakini awali kabisa aliwakataaa hao jamaa anakotaka kwenda ๐๐๐sahzi anawakubali a tena
-
Kibu D
-
Bora umewambiya wanachanganya weka wazi tunaaribu mb kuwaskiliza nyinyi
-
Kibu denga ๐
-
Mwamba aende tu akapeperushe bendera ya ๐น๐ฟ
-
Iringa haisikiki kwa muda wa wiki tatu sasa hovyo kabisa jaman mbna hamko makinii