Nyimbo za Kwaresma Mix | Sauti Tamu Melodies | Catholic Lent Songs Compilation
897,443
Published 2022-03-19
06:22 Kuteswa Kwake Bwana
11:38 Uniondolee Dhambi
16:32 Yesu Akalia kwa Sauti Kuu
22:38 Pasipo Makosa
25:11 Bwana Kama Wewe ungehesabu Maovu yetu
29:59. Kwa Nini wasimama mbali
Nyimbo zinazopendwa za Kanisa Katoliki, kipindi cha kwaresma, Jumapili ya matawi (Palm Sunday) na Juma Kuu (Holy week)
Good Friday Catholic songs
All Comments (21)
-
Hongereni saana sana kwa nyimbo nzuri sana zenye sauti nzuri mno Mungu awabariki sana.ππππππ
-
Asnt sna mungu awabariki kweli yesu
-
I'm blessed π
-
Ole mtu yule amsalitie bwana ingekuwa heli asinge lizariwaπππππ ahsante sana kwawimbo Mauiππππππ
-
Asante sana kwa nyimbo murua
-
Wow awesome..am blessed..
-
Mwenyezi Mungu amubariki sana kwa sauti mzuri
-
8:33 congratulations GOD bless you
-
Mungu awabariki nyimbo nzuri za kwaresima
-
Asanteni kwa nyimbo na sauti nzuri
-
Mko vzr Jaman mbarikiwe sn
-
Good work Guys
-
Sweet melody be blessed sana
-
Hongereni Mungu awasaidie
-
Amini nawaambieni kesheni mkiomba β€β€β€
-
Thank you Sauti Tamu for the good melodies for this period of Lent.
-
Mungu wetu apewe sifa kwa hizi sauti tamu. Mbinguni kutakuwa ni kuimba tu.πβ€β€β€
-
Napenda ,, I'm being blessed by this beautiful voices π today being on a good Friday
-
I'm blessed
-
Nice songs