NIMEFIWA NA WATOTO WANGU WAWILI AJALI YA GARI KUSOMBWA NA MAFURIKO ARUSHA

78,388
0
Published 2024-04-14

All Comments (21)
  • 😭😭😭😭😭😭😭Mungu naomba uwape hizi familia faraja na mioyo ya subra
  • @subirajohn728
    Pole sana Kaka ! Ni maumivu makubwa sana sana! Poleni Wazazi wote mliopoteza wapendwa wenu! Innalilah wainnalilah rajiuun!
  • Pole sana mr mushi kwa msiba huu mkubwa, upokeeni msiba huu kwa imani tukijua kuwa sote tutapitia njia hiyo, Mungu awape pumziko la milele marehemu wote Amina
  • @saidramadhan71
    Pole sana mwenyezi mungu akupe nguvu wewe na familia yako
  • @SashaOscar
    😭😭😭😭😭 nimejaribu kuvaa viatu vya wazazi havinitoshi, Mungu awape faraja iliyo ya kwl
  • @user-se1qc5mx4o
    Poleni sana ndugu zangu. Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi amen
  • @user-pj1op9je4b
    Poleni sana wanafamilia mliopoteza watoto kwa ajali MUNGU awapokee watoto hao Mbinguni.
  • @thomassenga2526
    Vijana na madereva wengi Arusha ni wavuta bangi na mirungi ni vizuri sana wenye shule waajili wazee wenye wanafamilia
  • Duuuh inauma Sana inaniuma Sana Mimi uwiiiiii😂😂😂😂 polen wazizi wenzangu kwa kuondokewa na watoto mungu awatie nguvu jaman poleeen.
  • @jenyyusuph4973
    😭😭😭 bwana mm ninani hata umenifanya niwe hivi 😭 poleni sana wapendwa Mungu mkombozi wetu awe nanyi daima
  • Poleni jamani kwa kupoteza wanafunzi wetu wa taifa la kesho, mungu haziweke roho mahali pema peponi
  • @annamosha968
    Poleni saana ndugu zetu, tunalia pamoja. Mungu awapokee malaika Hawa😭😭😭
  • @mamachris6811
    Tumuombe Mungu sana maana mwovu shetani anatumia mbinu nyingi kuumiza watu wa Mungu,hawa "manabii" nao ni miongoni mwa mawakala wa shetani