EXCLUSIVE: MTOTO MWINGINE WA GARDNER KAFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUKUTANA NA BABA YAKE UKUBWANI

180,451
0
Published 2020-08-17

All Comments (21)
  • @mrsochu-hv7bm
    MMH.............JAMAN KAMA NA WEWE UMEBAKI MDOMO WAZI KAMA MIMI LIKE YAKO JAMAN
  • @shukurukoll7269
    Haiba yake inafanana naye Gardner. Haya yanatokea duniani si mageni kwani ujana wakati mwingine husababisha haya. Mimi pia nilikutana na kijana wangu wa kwanza akiwa ana miaka 26 na alikuwa hana shida ila alikosa amani kutonijua nami pia kipindi chote nilikosa amani. Lakini Mwenyezi Mungu alitukutanisha na tunaishi vizuri sana, akiniheshimu sana na kwa upendo mkubwa.
  • Mrembo,mcheshi,mtaratibu....high vibration na amefanana na gadner puan kwenda juu😍😍😍😍
  • @arafaally2895
    Huyu ananidhamu kubwa.mtoto anaejilea bila wazazi huwa anakomaa kiakili
  • Mmmh mtu anashndwa kukiri kama ni baba au lah.. hii ni kiki tu hamna jambo hapa
  • Mzuri na anafanana na baba yake Mungu mkubwa na ni vitu vya kawaida watakaa na kumaliza hilo🙏🏼🙏🏼
  • @eddiexjr1
    You're so beautiful and smart ...keep it real . Nimekupenda sana
  • @janemhagama1925
    Hii interview inaboa mtu wenyewe hafunguki mnamuoji wa nn kama hajibu maswali
  • Sidhani kama ni baba mzazi. Anazungusha sana maneno hayupo straight. Huenda ni mlezi yaani aliamua kumsaidia kimaisha tu. Mtazamo wangu.
  • @user-qw8tm3jz2u
    Sisi timejua tuna mdogo wetu akiwa form four yaani wababa wengi wako hivyo ,ila mapenzi yanakuwa madogo mno mimi najilazimisha kumpenda yule msichana lakini wapi
  • @magrethmoris215
    Hivi mnawajua wa Mama wa kichaga........kiruuuu huyu bint siokwamba hawezii kuongea ila tatiz ni Mama.......msinifokee