MATESO YANAPO KUSIBU

62,462
0
Published 2022-09-13

All Comments (21)
  • Leo pasta, umeongea namimi asilimia 100.100% ombi langu kwako MUNGU akutie nguvu kwakila unachopitia pia. Akupe nguvu ya kushinda zaidi na zaidi. Kwa jina la Yesu.๐Ÿ™๐Ÿผโค๏ธ
  • Amina Pastor Bwana akubariki kwa neno la uzima tunapata nguvu za kisonga mbele
  • @Grace-ts2rf
    I love Ps D. MMBAGA He preaches the good news of Jesus Christ.
  • @user-gk2qc8ds7w
    Ahsante sana somo lina mwaka tayari lakini nimeliona leo katika wakati sahihi na nikiwa katika kukata tamaa na kuliacha kanisa mungu akubariki sana pr
  • Huu ubongo sio wa kawaida kabsa,unajua kugusa maisha asilia tunayoishi.Mungu akutunze tuu pastor,ndilo ombi Langu kila siku,masomo yko yanaponya moyo wangu kila siku.ubarikiwe Sana.
  • @user-sc7md1es1c
    Pasta ombea msichana wangu mungu amfungue kuroka minyororo ya umalaya na ampe mume
  • I'm blessed pastor and I thank God always for your being there for us help innocent soul like you have done to me glory and honor be to God ๐Ÿ™๐Ÿ™
  • Ubarikiwe sana mchungaji,somo hili limenijenga Sana kumtegemea Mungu zaidi ya chochote.
  • @user-sd6bo1xs2z
    Pastor Amen nikama umepiga picha ya maisha yangu niko na changamoto nyingi ela ninamuamini Bwana wa Majeshi unapoomba niombee boma yangu shetani amevamia kila kitu ela ninaamini nono laleo na maombi Mungu atanifunguaโค๐Ÿ™
  • Asante Mungu Baba umesikia kilio changu umenijaza nguvu na utakuwa nami daima hata ukamilifu wa dahari kwa jina la Yesu Kristo Amina.
  • Amina mcungaji unaniponyakiroho Yesu mwenyewealigeukwa narafikiyake wakribu sembuse mimi umeniponyakirohonilikata tamaakabisa kumpenda mtuasiyekupenda pagumuu barikiwasaaana mungukutunze mchungaji .
  • @rosemarymallya4458
    Kweli ๐Ÿ“Œ๐Ÿ’ฏMUNGU ANAWEZA KUGEUZA USIKU MMOJA UKAWA MCHANA KWA MAISHA YA MTU YYTE๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅJob:yote kujifunza๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช I RECEIVE THIS๐Ÿคฒ๐Ÿ”ฅ๐Ÿคฒ๐Ÿ”ฅIJMN๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™