ELEWA VITU VINAVYO ZIPA MADHABAHU NGUVU ZA KUKUTESA

39,936
0
Publicado 2022-08-21

Todos los comentarios (21)
  • @NkamuhabwaFrolian
    Pastor ninayaelewa mafundisho, Mungu atupe neema ya kulishika neno la Mungu.
  • @mrsdeborahurio
    Ninakuelewa Sana Pr. David; Mungu akufiche mbawani mwake, uzidi kumuanika ibilisi!
  • @Pendomabula
    Mahuburi Tv Mungu wa mbinguni awaangazie nuru yake ili mtuangazie,nabarikiwa mpaka natetemeka ndani ya moyo wangu.
  • @HuldaMadulu
    Nakuelewa sana kila ulichozungumzia n kweli maana mim nayapitia maishani mwangu naona Mungu amekutumia ili mm nijielewe na kuvunja hiz madhabahu asante sana
  • @JC-lk3me
    Asante sana mchungaji, umejibu maswali yangu karibu yote. Mungu akubariki wewe na familia yako🙏🙏🙏
  • @lilianlima8609
    Hili somo ni la kulirudia tena maana tulianguka sana bila hulifahamu hili, Mungu atusaidie sana
  • Nimeshukuru kwa mahubiri haya ufunguo wa kufungua Mambo magumu, ushuda wangu ni uyu walinipiga vita kanisani Ila mimi kwa Imani na Nia nilikuwa nayo yakumutumikia Mungu Niko imara hapo hapo Asante Muchungaji Mungu aongeze upako wa mahubiri
  • Amen bwana akubariki pastor Na akupe afay njema Na ulinzi siku zote uingiiapo Na utokapo nimbarikwa Na somo hii
  • @sarahndagile997
    Nabarikiwa Sana na mafundisho yako Mchungaji ubarkiwe Sana.
  • Ubarikiwe san Mchungaji David mbaga MUNGU endelea kukupa Afya njema uzid ukuhubir Mataifa yote🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇹🇿👈
  • @bellimarwa5454
    Mungu akubaliki Sana unaniinua niangukapo umekuwa mrezi wangu wa kiroho ahsante kwa huduma hii jina la yesu litukunzwe sana
  • Ohhoo Baba wa mbinguni umenifungua macho Leo nimeona . Mwenyezi MUNGU aliye juu ya vyote anisaidie na kunisimamia.
  • Hili somo vijana wetu wanatakiwa walielewe,wasikie sauti ya Mungu ikiita
  • Mungu awabarikini Sana tuko pamoja, katika ibada kila ninaposikiliza, amin
  • Mungu akubariki pastor mafundisho Yako yamenifanya mimi kujigundua ninani Miele ya mungu.